Donald Trump azidi kupeta kwenye kura za majimboni

Cendy

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
1,249
2,307
Mgombea kiti wa chama cha Republican katika uchaguzi ujao wa urais nchini Marekani Donald Trump ameshinda kura ya mashinani katika jimbo la Carolina Kusini.

Bwana Trump ambaye awali mwezi huu, alishinda katika jimbo la New Hampshire, amepata kura nyingi huko Carolina Kusini huku wapinzani wake Ted Cruz na Marco Rubio wakimfuatia kwa karibu.

Kutokana na matokeo mabaya ya gavana wa zamani wa Florida, Jeb Bush, kakake aliyekuwa Rais wa Marekani George W. Bush, amejiondoa katika kinyanganyiro hicho.

Awali mgombea kiti hicho kwa chama cha Democrats Bi Hillary Clinton ameibuka mshindi katika kura ya mashinani eneo la Nevada, na kubwaga mpinzani wake Bernie Sanders.

Chanzo:
BBC
 
Possibility ni kubwa jamaa kuwa rais, labda kwa mara ya kwanza coservative republicans wamtose jamaa na kumpigia kura Hillary Clinton (ambae kwa karibu miaka mitatu wamefanya bidii kumchafua kutumia scandal ya Bengazi) awe rais
 
Nnaona mnaleta habari mbaya kwa wafuasi wa Museveni na Mugabe
Hata kwetu mkuu, ukitazama misaada ya USAID upande wa afya ....magomjwa kama malaria, TB, HIV/AIDS- majority ya ARVs na vipimo, afya ya watoto chini ya 5yrs...Huyo jamaa ana mpango wa kusema no! ingawa fedha zitolewazo kwao ni peanuts
 
Kweli mkuy
 
Wenye akili timamu ni wengi sana huko Marekani kuliko vichaa aina trump,hatapita huyo..Ni ujinga kudhania kua rais wa marekani atakuja kusaidia kukwamua udikteta wa afrika,sahauni yaani kiki za kisiasa zinawafanya watu kua wajinga
 
That's merely impossible, Conservatives aren't sure about Trump conservativism but when given two choices to make between Hillary and Trump,they will easily vote for Trump as they can't stomach the idea of seeing Hillary in the Whitehouse.What scares the hell out of Conservatives is the idea of Bill Clinton returning into the Whitehouse. I firmly believe that the Hillary's candidacy will motivate millions of Conservatives to go to the poll stations like never before, just to stop Bill Clinton and his wife from returning to the Whitehouse.
Possibility ni kubwa jamaa kuwa rais, labda kwa mara ya kwanza coservative republicans wamtose jamaa na kumpigia kura Hillary Clinton (ambae kwa karibu miaka mitatu wamefanya bidii kumchafua kutumia scandal ya Bengazi) awe rais
 
That's merely impossible, Conservatives aren't sure about Trump conservativism but when given two choices to make between Hillary and Trump,they will easily vote for Trump as they can't stomach the idea of seeing Hillary in the Whitehouse.What scares the hell out of Conservatives is the idea of Bill Clinton returning into the Whitehouse. I firmly believe that the Hillary's candidacy will motivate millions of Conservatives to go to the poll stations like never before, just to stop Bill Clinton and his wife from returning to the Whitehouse.
For sure man, na Sanders na usoshalisti wake ndio kabisaaa....hawataki
 
Back
Top Bottom