Ted Cruz announces he's ending his campaign for US presidency

Ted Cruz announces he's ending his campaign for US presidency

Unajua kuna kitu sikielewi...kwa sababu, hadi kufikia sasa ni dhahiri kwamba Hillary ndo atakuwa mteule wa Democrats.

Sasa kwa nini watu bado wanampigia kura babu...na si kura tu ili mradi. Ni kura za ushindi.

What's that suppose to mean?

It is bizarre!

With all his wins, by the end of the day bado wanasema Hillary ni mteule?!

Am lost...
 
I have a bad feeling that it isn't over just yet. The GOTP convention could be very ugly.
Not realy; now that Ted has fled and Kasich is a spent force! Its a done deal for The DT as he awaits to get lynched by the Iron lady; HC.
 
It is bizarre!

With all his wins, by the end of the day bado wanasema Hillary ni mteule?!

Am lost...
Common dont get lost; hii bado ni primary season, kila chama kinafanya uteuzi wa ndani ili kupata mtu atakayepambana na mwenzie kutoka chama pinzani katika uchaguzi mkuu mwezi novemba! Mpaka hapo Trump anaelekea kuwa mteule wa Republican party na Clinton akielekea kuteuliwa kwa upande wa Democratic party; baada ya uteuzi huu ndani ya vyama; wawili hao ndio wataanza kampeni za kitaifa kuelekea uchaguzi mkuu novemba 2016.
 
I meant Hillary Vs Sanders.

But mkuu, not so fast on the iron lady now.
As much as I like her, I hate to have doubts on her.
She's been struggling to crush Sanders, (in their party) what about Trump in November?

She's experienced and smart, as opposed to Trump but, this's not going to be a walk in the park for her.
 
Not realy; now that Ted has fled and Kasich is a spent force! Its a done deal for The DT as he awaits to get lynched by the Iron lady; HC.
Am wondering! why woud JK Stay that far while DT is Winning and Winning?
 
Low energy Jeb, Lyin Ted, Little Marco and a whole host of political pundits said Donald Trump will never be the Republican nominee.

I, yours truly said the same thing too.

But guess what.......

...Zactly!, was about to say the same thing to lebara

A business man, a Washington outsider, with no political experience whatsoever,
Trumpeted all them Senators and Governors, don't count him out, yet.
 
trump will never become the POTUS
I think he will. HRC has no momentum to defeat DT, I thought DT would start loosing after his comments on women, but still he is gaining.
 
Baada ya kugaragazwa vibaya kwenye kura za awali za kuwania kuteuliwa na Chama cha Republican kwenye Jimbo la Indiana, hasimu mkubwa wa Donald Trump, Ted Cruz ametangaza kujiondoa kwenye mbio za kuwania kuteuliwa na c hama hicho, hivyo kumuachia njia nyeupe Trump kwani kwa sasa, hatakuwa na mpinzani tena ndani ya chama hicho.

Licha ya kumtangaza rais wa Kampuni ya Hewlett and Packard (HP), Carly Fiona kuwa mgombea mwenza, Cruz ameendelea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Trump, jambo lililomfanya aamue kunyoosha mkono.

Licha ya sera zake za kibabe, za kibaguzi na misimamo isiyoeleweka, Wamarekani wengi wanaonesha kumuunga mkono Trump na si ajabu atakaposimamishwa na mwanamama Hilary Clinton wa wa Democrat kuwania urais wa Marekani, akaibuka kidedea. Ni suala la muda tu!
 
Yeep!, true!

Trust me, am thinking the same, won't be suprised if he become the POTUS
kabisa mkuu.tena trump akipambana na hillary kuna uwezekano mkubwa sana akamshinda.hillary akiwa under pressure(as a woman)huwa anapanick kweli..trump anaweza kumchokoza mpaka akaenda nje ya mstari..
 
Huyu jamaa anawakosesha usingizi mkuu Root, na uchiz wake utashangaa anaingia white house
 
kabisa mkuu.tena trump akipambana na hillary kuna uwezekano mkubwa sana akamshinda.hillary akiwa under pressure(as a woman)huwa anapanick kweli..trump anaweza kumchokoza mpaka akaenda nje ya mstari..

Hahaaaa ila Trump mchokozi sana.
 
Back
Top Bottom