Tecno Yapindua Soko La Dunia

Mkuu wateja wengi wa lowend na mdrange ni iltrate, hawajui hayo ya processor wala security apdate na wengi hawafanyi hizo update hata kama zimetoka hivyo hayo mahitaji yaliyopungua hayaathiri soko. Ni heri apate chaja og free kuliko software update
 
Kwani hujui redmi imeonganishwa kwenye xiaomi ..ukitaja redmi enyewe usingeiona hata top9
 
Xiaomi na Realme ni makampuni tofauti mkuu
Xiaomi yeye ana Xiaomi (Mi), Redmi, Poco na Black Shark (gaming phones)

Huyo Realme yuko chini ya BBK. Wenzake ni Oppo, Vivo na One Plus.
Pia kuna iQOO ambayo ipo chini ya Vivo
Safi sana.
 
Kwani hujui redmi imeonganishwa kwenye xiaomi ..ukitaja redmi enyewe usingeiona hata top9
Mfano wako ni tofauti mkuu
Xiaomi, Redmi na Poco hazi operate independently kama ilivyo kwa Tecno, Infinix na itel. Zote zina share vitu common na zinabeba jina la kampuni mama "Xiaomi"
Hizo Tecno, Infinix na itel ni independent brands, ila Xiaomi (Mi), Redmi na Poco ni sub-brand, ni kama series iliyopewa majina yao special lakini brand name ni Xiaomi. Ndio maana utakuta simu inaitwa Xiaomi Redmi Note 12, Xiaomi Poco F5 nk na wala hautakutana na Transsion Tecno Spark 8 au Transsion Infinix Note 10 kwa sababu Tecno, Infinix na itel sio sub-brands bali ni complete brands kabisa zinazofanya kazi independently.

Zinajitegemea hadi utengenezaji wa software, Transsion inabaki kuwa kampuni inayo hold brands kama ilivyo BBK Groups
 
Nimetumi techno kwa miaka 6, sina hamu nayo tena. Sasa nimehamia Samsungu, kisha ntafuata google pixel
 
Kimsingi Tecno ,Infinix ,na Itel zinatoka katika uzao mmoja yaani same parent company . Ila kama umebase kuangalia mwaka ambao kampuni ilianzishwa inaweza kukuchanganya maana Tecno ilizaliwa mwaka 2006 , Infinix mwaka 2013 na Itel mwaka 2014 tena katika sehemu tofauti.

Kama utakuwa umeshachunguza utakuwa unajua kuwa software setup ya hizi simu zinaendana. Lakini pia ringtone, notificationtone na hata massaging layout zinaendana kabisa .Aina ya processor ambazo zinaoperate simu hizi zinaendana pia .

Iko hivi... sera zakibiashara ndio zinazowabana wafanyabiashara na makampuni mengi yakibiashara , yaani utakuta yule mwenye mauzo na uzalishaji mkubwa wa bidhaa ndiyo atakaye lipa kodi kubwa . Ndio maana huwa wanatenganisha kwakuanzisha makampuni yanayokuwa na majina tofauti na katika nyakati tofauti. Mfano.. Kuna mabasi yanaitwa SATCO ,na mengine yanaitwa BATCO haya yote yanamilikiwa na mtu mmoja.
 
Upo sahihi
Lakini software zao zinafanana in terms of quality ila user interface kiujumla ni tofauti

Processor zinafanana kwa sababu Tecno, Infinix na itel wanategemea UniSOC na MediaTek kwenye upande wa processors kama ilivyo tu kwa makampuni mengine ya simu za Android pia

Message na Calling app zinafanana kwa sababu karibia kila simu ya Android sikuhizi inakuja na Google Message na Google Caller by default ambazo hazina utofauti kwenye Tecno, Infinix, Oppo, Xiaomi, Sony na hata Samsung

Mifanano hiyo ni common kwa simu za Android nyingi, sio tu Tecno na Infinix pekee
 
Business modal ya mchina ni hatari sana.
Start to build, markert it then grow, gow, grow.
You Yong zilianza mdogo mdogo sasa hivi ni top five selling buss in the wolrd wameipiku mpaka markopolo.
Mchins inaitawala dunia jwa hatua, hatumii misuli bali akili.
 
Mchina anajua kucheza na akili za watu.
Anajua nini watu wanataka
 
Hata ikiwa namba moja siwezi tumia redio iliochangamka hata siku moja
 
Hawa tecno labda wabadilishe jina jamani maana ukiitaja tu tecno ni shida😐
 
Hawa tecno labda wabadilishe jina jamani maana ukiitaja tu tecno ni shida😐
Lakin mbona wana simu nzuri tuuu mm nilimilik Spark 8C saiv nina Samsung Galaxy A12, najuta kuuza spark yangu asee
 

Attachments

  • 756e5fc9912d12feba6dd9cdd6e81c6c.jpg
    123.4 KB · Views: 4
  • maxresdefault.jpg
    61.8 KB · Views: 5
Lakin mbona wana simu nzuri tuuu mm nilimilik Spark 8C saiv nina Samsung Galaxy A12, najuta kuuza spark yangu asee
Wengi wanaoponda infinix na tecno wanafata mkumbo hawajatumia hizo simu
 
Lakin mbona wana simu nzuri tuuu mm nilimilik Spark 8C saiv nina Samsung Galaxy A12, najuta kuuza spark yangu asee
Hata Samsung ana simu za hovyo pia. Hiyo A12 ni low end na bado sio nzuri kama low end nyingine. Hapo hujaongelea midrange

That's why hujaona maajabu kwenye hiyo Galaxy A12
 
Ila wametoa chuma Phantom V Fold mh nahisi kitakua cha moto.

 
Ila wametoa chuma Phantom V Fold mh nahisi kitakua cha moto.

View attachment 2716102
Hiyo ilishatoka muda na ni foldable nzuri tu
Nadhani Tecno ndio kampuni pekee yenye ujasiri wa kutengeneza foldable phone ya high-end kwa dola 1000 tu
Foldable za kampuni nyingine ni bei kubwa ila zina hardware nzuri kuliko hii ya Tecno
 
Hiyo ilishatoka muda na ni foldable nzuri tu
Nadhani Tecno ndio kampuni pekee yenye ujasiri wa kutengeneza foldable phone ya high-end kwa dola 1000 tu
Foldable za kampuni nyingine ni bei kubwa ila zina hardware nzuri kuliko hii ya Tecno
Nimeona apo April 2023. Sema sijaiona mikononi kwa mtu ila nimeziona Foldable zingine mh bado sijavutiwa na Ile technology kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…