Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Ila huja jieleza vizuri je usipo weka mfukoni inazima pia auHabari za asubuhi wanajamii wenzangu, niko na tekno y3+ ila cha kushangaza naweza kuweka kwenye mfuko was suruali matokeo yake naikuta imejizima, mara ya kwanza nilijua ni betri ila nilibadilisha matokeo yamekua yale yale.
Sasa naomba munipe msaada wa kiufundi tatizo ni nini hasa haijatimia hata mwezi kuanza kuitumia, nawatakia mafanikio mema.
Mkuu sikuambuwa mda wa kurudusha mi wakati niliponunua niliondoka tu, pia kwenye risiti hawajaweka warrantNenda duka ulilonunulia tumia warrant uliyopewa , waelezee tatizo lako watakusaidia mkuu ila pole sana
Haileti.Kuna ujumbe wowote hua inakuletea kama unfortunately Google has stopped
Ndio mkuuKuna ujumbe wowote hua inakuletea kama unfortunately Google has stopped
Sijafanya uchunguzi mara nyingi ikiwa nje ya mfuko wa suruali naizima, kutona na shughuli zangu.Ila huja jieleza vizuri je usipo weka mfukoni inazima pia au
ina maana hupumzikiSijafanya uchunguzi mara nyingi ikiwa nje ya mfuko wa suruali naizima, kutona na shughuli zangu.
Mkuu napumzika mara nyingi usiku na wikiend ila mara kwa mara napenda kuweka mfukoni.ina maana hupumziki
Hicho nikirusi inatakiwa iflashiwe kwa flash file yakwakweNdio mkuu
Ili tupate ufumbuzi usiiweke mfukoni ina wezekakna tatizo liko kwenye buttonMkuu napumzika mara nyingi usiku na wikiend ila mara kwa mara napenda kuweka mfukoni.
Asante hata mm nahic itakua hivyo maana mpaka mda huu haijazima ndo nnayochati nayoIli tupate ufumbuzi usiiweke mfukoni ina wezekakna tatizo liko kwenye button
Ulitaka nichukuwe ipi mkuukosa ulilolifanya ni kununua tecno.
ina maana hupumziki
Napumzika na nimeshaenda kuibadilishaUlitaka nichukuwe ipi mkuu