Tecno wanakuletea phantom 6 inakuja na ram ya 6gb na 32gb rom

Tecno wanakuletea phantom 6 inakuja na ram ya 6gb na 32gb rom

Tecno wazushi sana sijui inakuaje mtu unanunua tecno. Hawa wachina itakuwa wachawi wanaroga watu si bure
 
Tatizo Tecno zinauzwa tu Africa huko kwao sidhani kama wanazitumia, Ulaya ndio kabisaaa hazitambuliki, inawezekana wametuona sisi ni jalala la kutupiwa bidhaa zisizofaa, ukiona bidhaa inatangazwa kuwa na uwezo mkubwa halafu bei ndogo lazima uwe makini....Ushauri wa bure nunua Tecno pale unapokuwa umebanwa na huna mbadala
 
MTK? naomba niwasilishe updates na ushahidi kila Tecno itayozima kuanzia kesho, Kununua Tecno basi uwe ma simu ya akiba pembeni, cm zenu zinakufa EMMC muda wowote
 
Back
Top Bottom