Williedm
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 505
- 139
imekufanye, nkupe hela ya kupooza machungudahh kweli ila yangu imekufa ina storage 5

imekufanye, nkupe hela ya kupooza machungudahh kweli ila yangu imekufa ina storage 5

hyo saket yako imefanyaje? hujawa wazi zaidi ndugmafundi wa hardware upande wa saket
unaweza pata kwa 40-50 mpyaimekufa
Simu za maana ndio zipi?Sasa mkuu kwanini ulinunua tecno na wewe?
Achana nayo kanunue simu za maana.
nina katecno kangu W5 ninakahenyesha mizigo mizito baada ya ku root, nimesha chokonoa ROM yake kinoma ila bado kanadunda tu.
sio zote haziwezi heavy duty uses.