Tecno w4 majanga sana

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,676
2,556
Simu ilizima ghafla naenda CALCARE (tecno service) mwanza pale rwagasore naambiwa elfu 80 ? simu nimenunua laki na 80 niongeze 80. jumla (260)

Naambiwa jmekufa saketi ndo wanibadilishie na saa hizi nipo shinyanga mkoani sion hata fundi wa kutengeneza saketi maana fundi tunaemwamini ni mmoja tu anadeal with software tu ,

Wengine wote siwaamini nielekezeni pungufu ila iwe karibu me nije coz hii nilonunua inafute machozi inaniongezea ,

Waatalam wa hardware kama mpo karibu na shy naombeni mnisaidie
 
Simu ilizima ghafla naenda CALCARE (tecno service) mwanza pale rwagasore naambiwa elfu 80 ? simu nimenunua laki na 80 niongeze 80. jumla (260) Naambiwa jmekufa saketi ndo wanibadilishie na saa hizi nipo shinyanga mkoani sion hata fundi wa kutengeneza saketi maana fundi tunaemwamini ni mmoja tu anadeal with software tu , wengine wote siwaamini nielekezeni pungufu ila iwe karibu me nije coz hii nilonunua inafute machozi inaniongezea ,
waatalam wa hardware kama mpo karibu na shy naombeni mnisaidie
Labda dsm au arusha boss
 
daaa uza kaa hz co cm,,,,,itakufiaaa hyooo,,ninaushahd wa simu zaidi ya 9 kwa miez mi5,zmekufaaa
 
Simu ilizima ghafla naenda CALCARE (tecno service) mwanza pale rwagasore naambiwa elfu 80 ? simu nimenunua laki na 80 niongeze 80. jumla (260) Naambiwa jmekufa saketi ndo wanibadilishie na saa hizi nipo shinyanga mkoani sion hata fundi wa kutengeneza saketi maana fundi tunaemwamini ni mmoja tu anadeal with software tu , wengine wote siwaamini nielekezeni pungufu ila iwe karibu me nije coz hii nilonunua inafute machozi inaniongezea ,
waatalam wa hardware kama mpo karibu na shy naombeni mnisaidie
Hapa unatataka tukusaidie nini hatuwezi kukufariji ' you have to dance to the tune'
 
All tecnos are for light uses, ila kama wewe ni heavy user wa simu usinunue tecno hata iwe ya mil 1 itakuangusha, maana tecno ukizipa mzigo tu ndio utajua una simu au una kanyaboya
dahh kweli ila yangu imekufa ina storage 5
 
All tecnos are for light uses, ila kama wewe ni heavy user wa simu usinunue tecno hata iwe ya mil 1 itakuangusha, maana tecno ukizipa mzigo tu ndio utajua una simu au una kanyaboya
nina katecno kangu W5 ninakahenyesha mizigo mizito baada ya ku root, nimesha chokonoa ROM yake kinoma ila bado kanadunda tu.
sio zote haziwezi heavy duty uses.
 
Simu ilizima ghafla naenda CALCARE (tecno service) mwanza pale rwagasore naambiwa elfu 80 ? simu nimenunua laki na 80 niongeze 80. jumla (260) Naambiwa jmekufa saketi ndo wanibadilishie na saa hizi nipo shinyanga mkoani sion hata fundi wa kutengeneza saketi maana fundi tunaemwamini ni mmoja tu anadeal with software tu , wengine wote siwaamini nielekezeni pungufu ila iwe karibu me nije coz hii nilonunua inafute machozi inaniongezea ,
waatalam wa hardware kama mpo karibu na shy naombeni mnisaidie
Hapo mwanza wahuni. Wapigie makao makuu. Mi niko Dom. C8 iliharibika OS wakaitengeneza, af kuna jamaa angu alidondosha phantom. Display ikafa wakambadilishia. Sasa soma vizuri warrant. Labda circuit haipo kwenye warrant. Hata hivo bado ghali sana. Pole. Kama una risit mpe mtu anaekuja huku aipeleke carlcare za huku town. Dar, Dom. Wakati mwingine wanaiba. Mwisho. Nenda duka ulilonunua uwaombe waipeleke wao au wawasiliane nao kwanza af ndo uende. Nishaona kesi ya hivo. Jamaa alirudi dukani na risiti wao wakapiga simu carlcare, akatengenezewa bure.
 
Imepona ndugu yangu nashukuru kwa ushauri imebadilishiwa saketi
 
Simu ilizima ghafla naenda CALCARE (tecno service) mwanza pale rwagasore naambiwa elfu 80 ? simu nimenunua laki na 80 niongeze 80. jumla (260) Naambiwa jmekufa saketi ndo wanibadilishie na saa hizi nipo shinyanga mkoani sion hata fundi wa kutengeneza saketi maana fundi tunaemwamini ni mmoja tu anadeal with software tu , wengine wote siwaamini nielekezeni pungufu ila iwe karibu me nije coz hii nilonunua inafute machozi inaniongezea ,
waatalam wa hardware kama mpo karibu na shy naombeni mnisaidie
Tecno ya wap mkuu, mi nilinunua 40 saket yake toka Tecno, we uko wap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom