ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,676
- 2,556
Nina simu Tecno W4 ambayo ilijizika ghafla ,nikapeleka kwa fundi wa software lkn haikuzaa matunda akawa kashindwa ,nikapeleka kwa fundi wa hardware akaniambia betri lake lipo full pia halina tatizo ,akanishauri niachane na hiyo simu coz itanigharimu ,dahh nikajiondokea zangu naumia rohoni kwa kuwa alinivunja moyo na simu bado kama mpya ,ila nikawa nimewasiliana na wataalam wa hardware kule MWANZA TECNO SERVICE maeneo ya rwagasore ila nikapewa ushauri kuwa hii simu imekufa SAKETI ,hivyo gharama yake elfu 80,daah nikarudi home maana huo mpunga ni pesa ndefu na kwa khali ya ss nikashindwa,Je wakuu kwa ss nimepata hiyo pesa nikipeleka pale TECNO service wakachange saketi simu yangu itarudi ktk uhai wake ?
NAOMBENI MAJIBU KWA WATAALAM WA MAMBO YA HARDWARE IF IT'S POSSIBLE KUPONA KWA SIMU YANGU BAADA YA KUBADILISHIWA SAKETI .
NAOMBENI MAJIBU KWA WATAALAM WA MAMBO YA HARDWARE IF IT'S POSSIBLE KUPONA KWA SIMU YANGU BAADA YA KUBADILISHIWA SAKETI .