Izo kama una2mia siemensi kidole au motorora bapaMkianza kujadili Itel nitakuja
Shida ya s4 inayoniboa mimi (pia ipo kwenye s3) ni kuchemka, ila kuhusu chaji naamini bado hujapata betri lenyewe, betri feki zipo nyingi sana.Mm mm natumia smsng s4 lakini chiji mda wote kama tv au sabufa mda wote kwenye sakiti
Ndiyo yani najuta
Pole sana mkuu ukichomoa chaji tu data unazima na kupunguza mwanga.
Kwakweli hiyo ni kufuru
Hizo dharau siyo za nchi hiii
Kimeo yani siyo sm bora infrix zina shindana na tecnoItel sijawahi kuzielewaga kabisaa
Tatizo ukinunua betri mpya chaji itajitahidi mwezi baada ya hapo mizinguko ya kurudi kwenye soketi inaanzaShida ya s4 inayoniboa mimi (pia ipo kwenye s3) ni kuchemka, ila kuhusu chaji naamini bado hujapata betri lenyewe, betri feki zipo nyingi sana.
Huo mtihani nauona sana kwa watu, ila binafsi sijakumbana na dhahma hiyo.Tatizo ukinunua betri mpya chaji itajitahidi mwezi baada ya hapo mizinguko ya kurudi kwenye soketi inaanza
Mkuu nitashukuru sana lakini nakuhakikishia kama itakuwa haikai na chaji nitakurudishia Asubuhi utaikuta mlangoni kwako.Tecno ni simu za hovyo sana kuwahi kutokea Duniani!mtoa mada naweza kukulipia iPhone 7plus au Samsung note8 kama hutojali
Nimekujibu kwa kutumia Techno huu ni mwaka wa tatu kwenda wa 4 natumia techno C5Tecno baada ya miez 6 inastack