Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,911
Hakuna tekno ya uhakika..kiufupi tekno ni simu za maskini tu....hizi simu ukiinunua ikiwa mpya utaifurahia kiasi ,subir ipite miez sita tu utausoma mzk wakeHahahaaa. Inapaswa azisifie kwa wale ambao hawajawahi zitumia ila kwa kina sie ambao tushawahi tumia tutampinga vikali aiseee.
Kama zipo za uhakika ni chache mnoo ila mengi ni mabomu.
...Seneta unazingua man..Nokia one sijawahi hata iona mkuu
Mie naonaga chaji kwisha ni aina ya matumizi uliyo nayo banaa.Tatizo ni chaji tu basi hakuna kitu kinaniboa kama kutumia simu inayoisha chaji kwa nguvu ya upepo.
Mm simu hii nimechaji toka jana mpaka sasa chaji ipo nusu halafu hata ukeshe kwenye mtandao haiwi yamoto.Wazee wa kukaaa kwenye soketi ya umeme wakija hapa hawatakuelewa mi ni bora simu inisumbue mengine lakini siyo kwenye chaji asee
Sasa unajaza vitu vya nini mkuu Tecno kwangu ni kwa matumizi ya kawaida tu Nyimbo zangu 20 kwa praylist yangu,picha za shemeji yenu na baadhi ya vitu muhimu kwisha kazi huwezi kuona inastakiTecno ni nzuri mwanzoni ila ukijaza vitu vingi inastack pia inakuwa nzito sana kwenye internet
Hahahaaaa. Wanakusoma ujue watuamiaji wa Tecno 😜😜😜 angalia wasikumeze sababu siku zote ukweli haujawahi kuwa mtamu Mkuu.Hakuna tekno ya uhakika..kiufupi tekno ni simu za maskini tu....hizi simu ukiinunua ikiwa mpya utaifurahia kiasi ,subir ipite miez sita tu utausoma mzk wake
Hahaaaa. Jifariji tu Mkuu.Yaani haiumizi kichwa ata ikipotea au kuibiwa haiumi ata kidogo.
Okay...umesikia Nokia 9 itakuja na Camera 5 za nyuma?
MKUU,
TRULY SPEAKING,
KUNA NOKIA 1, PIA NOKIA 3 ZINA MFUMO WA ANDROID.
CHECK MTANDAONI UTAZIONA.
Okay...umesikia Nokia 10 itakuja na Camera 5 za nyuma?
Hahaaaaa. Hapo nitashindwa kutoa ushahidi sababu mie huwa naamini matumizi ndio yanafanya simu ikae na chaji au kutokaa na chaji.Mkuu kuna simu inayokaa na chaji kuipita tecno ?
pole Sana mtani, tatzo Tesino ni kama za wajereman maana ile ni Dona kantre.. karbu kwenye dunia ya Nokia tangu 2009 napeta nayo mpk sasa.... Soon ntahamia Xioami, Oppo na IphoneNgoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Yaani haiumizi kichwa ata ikipotea au kuibiwa haiumi ata kidogo.
Sawa mkuu fanya kautafiti kako ulete mrejesho hapa ipi ni chaji sarver kati ya Tecno na hizo simu zingineHahaaaaa. Hapo nitashindwa kutoa ushahidi sababu mie huwa naamini matumizi ndio yanafanya simu ikae na chaji au kutokaa na chaji.
Huwezi sema Tecno inakaa na chaji wakati kutwa nzima upo job na ikitokea umeperuzi simu basi ni muda wa breakfast au lunch.
Kila simu inakaa na chaji kikubwa ni aina ya matumizi tu.
Okay... Battery ya iPhone 6 si ni mAh 1800 hivi..Ip
iphone 6