Mshindi huwa anajulikana siku zoteMmhh..atapatikana leo kweli???
WoiiiMshindi huwa anajulikana siku zote
Mioyoni watu wanajua iPhone is the best basii tuu wanapambana
Umejuaje langu lina mwaka kila mda linastack hovyo kabisa mchina uyuTecno baada ya miez 6 inastack
Ilikuwa samsung ya mwaka gani?.Tafuta hizi za 2017-2018 zinatunza sana charge ni zaidi ya saa12 ukiwa unatumia 3G non stop kitu ambacho uwezi fanya maana una kazi zingine pia.Pia zina performance nzuri na feature lukuki.Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.
Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.
---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.
__Camera yake iko vizuri .
__Kioo kikubwa
__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.
__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.
__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.
__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.
Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.
Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.
Natamani ningekuepo wakati unaandika hii post (maana najua sahz utakua umelala) nisingekubali uondoke na akili uliyoingilia.Kama hutumii iphone usijihesabu kuwa una simu.
Hio ni fact ambayo huwezi kuikubali
Katecno wereva kangu kanapiga mzigo mwaka wa 5 sasaTecno baada ya miez 6 inastack
Swahiba katecno kangu kanapiga mwaka 3 ssNgoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Hahaha. Kijana hapa tunachangamsha tu jukwaa.Natamani ningekuepo wakati unaandika hii post (maana najua sahz utakua umelala) nisingekubali uondoke na akili uliyoingilia.
ππππ duuhKama hutumii iphone usijihesabu kuwa una simu.
Hio ni fact ambayo huwezi kuikubali
Katecno wereva kangu kanapiga mzigo mwaka wa 5 sasa
Swahiba hizi ni Tecno mbili tofauti au moja? πππππSwahiba katecno kangu kanapiga mwaka 3 ss
Hahahaaa. Usijali bana Swahiba.Typing error swahiba
Hahahaaa. Usijali bana Swahiba.
Kwema tu Swahiba.Kwema lkn?