Tecno User Vs Samsung and iphone user

Hivi thread imenikumbusha msemo wa umoja ni nguvu, naona Team Techno imekataa kunyanyaswa na muda si mrefu wataondoka na ushindi, refa kanyanganywa filimbi, baadhi ya wachezaji timu pinzani wanalazimishwa kupiga mipira kuelekea golini kwako.
 
Tecno baada ya miez 6 inastack
Hii ni guarantee, haijaalishi unatumia tecno ipi, yaani ikifika miezi sita tu kuanzia apo simu itaganda. Unaweza kufuta na kui restore upya ukafikiri itarudi perfomance yake lakini bado itaendelea kuganda.

Ninayo K8, simu imebakia 480MB free storage, eti sms haiwezi kuingia, inakuja notification inanambia kuna sms imeshindwa kuingia kwa sababu ya storage ndogo. yaani sms ya 13kb haiwezi kuingia, lakini ukipiga picha inakubali. Sijui ni Tecno au ni Android tu!
 
Usiwe mpole hivyo Dada yangu

Mwamba ngoma huvutia upande wake.

Nasubiri kamba ikatikie katikati mambo yaishe
😂😂😂😂 nimewaachia team tecno mserereke nayo maana naona mnajitahidi kuhalalisha ukweli ambao kiuhalisia uko tofauti kabisaaaaaa.

Maana mie kama mie zingekuwa tecno zina haya mnayoyasema nisingethubutu kuhamia kungine. Hongereni mmeshinda kwa maandishi. 😂😂😂😂😂
 
Tecno ni jina la kampuni ya simu, unatumia tecno ya aina gani kwani ndugu maana nimehisi kama vile unaogopa kuitaja, sitaki kuamini kama umesahau kuitaja licha y maelezo toshelezi juu ya tecno.
 
Usikimbie bhana tuambie uzuri wa simu yako
 
Yaani unatumia simu mpaka inafikia 480 mb alafu bado unalalamika ikiwa inastack ?

Simu unaigeuza laptop mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…