Tecno tena, Win pad 2in1,na Droid 8 tablet hatariii

Tecno tena, Win pad 2in1,na Droid 8 tablet hatariii

kaka hii tablet ya windows inaitwa win book inauzwa marekani dola 60 (shilingi 120,000)inarun full windows, japo ina inferior specs kama 1gb ram lakini inatumia same processor sawa na hio tecno.
Winbook.jpg


nimeicheki hio tablet ya tecno inauzwa naira 57,000 kama 580,000 za tanzania. niambie wewe tecno ni mkombozi wa wanyonge? anauza vitu bei rahisi?

even kina asus, lenovo,hp na toshiba wana tablet za internal 32gb na ram 2gb zinazorange dola 150 hadi 200 (shilingi laki 3 hadi 4). build quality ya tecno huwezi ifananisha na ya asus au hp au dell au lenovo na still vya kwao ni bei rahisi kuliko over priced tecno ila sababu hatufikirii tunaziba macho na masikio na kusema vitu vya tecno ni bei rahisi.

mimi nilishaacha kucoment kwenye thread za tecno sababu haina maana ku reason na mtu asietaka kuelewa kilichonivutia hapa ni huo usemi wako kuwa sasa hivi tecno anafanya patnership na microsoft kutengeneza tablet hivyo tueke mambo sawa hapa.

1.kuna windows
2. kuna windows with bing

hio windows with bing ndio ipo kwenye hii tab ya tecno na pia ni bureee kwa tablet za inch 10 kushuka chini, hivyo hakuna mambo ya genuine wala key wala activation linapokuja suala la windows with bing thats why unaona siku hizi kila kampuni inatengeneza tab za windows.

Windows 8.1 with Bing is free for OEMs despite initial $10 charge | Windows Central

Mkuu mbona unapenda kutudanganya wa Tanzania wakati siku izi dunia ya Google ipo mikononi?

Iyo win book uliotoa hapo inayouzwa dola 60 naomba link hapa alafu uilinganishe na ya tecno

Win book inayouzwa dola 60 ina 7" na hupati ikiwa full na hata na keyboard cover ya typing

Ile ya tecno ni 10.1" then ni complete na kitako chake si keyboard cover, specifications zake ni superior ina 2GB ram na internal storage ya 32gb

hata iyo win book ya 10.1" bei yake bila kuwa complete na cover ni usd 190 bila keyboard

Nimepitia amazon, e bay na kwingineko ukitaka complete full na key board ya hybrid ni dola 290 mpk 301$ sasa iyo kwa exchange rate sio 650000/= na zaidi ya Tanzania?

Alafu iyo win book TW 100 10.1' ni tofauti na ya tecno izo unazosema wewe si 2 in 1 hizi unazosema zinawekewa keyboard ya kawaida tu kama tablet nyingine, angalia ya tecno ilivo, kama unabisha lete picha utuoneshe hapa iyo win book ikiwa na hybrid combination kitako chake kinachoifanya 2 in 1 Bei yake alafu ulinganishe na tecno

Ifikie hatua ukubali mkuu vitu vilivo wazi dunia sio kijiji tena
 
Kaka Mkwawa habari vipi?
mashine hii ya tablet ya windows win book..
Hapa Tanzania imeshafika? itakuwepo mtaani labda kama unajua inaweza kuwa inapatikana maduka gani kwa msaada.

Ana kudanganya tu iyo win book ya dola 60 haifanani na ya tecno hata robo na ni vitu viwili tofauti
 
Kwa wapenzi wa brand ya tecno, kafanikisha vitu vya hatari, mmeviona?

Katoa tablet inaitwa Droid pad 8 au maarufu kama tecno 8H tablet safi sana niliiona Arusha kwa tsh 350000/= Google uone specifications
Picha
View attachment 268058
Ukiiona utaipenda aisee, sipigi promo
View attachment 268058
Angalia hapa specs kidogo.

Sasa iyo ni moja mwisho ni Win Pad 10, 2in1 inaitwa two in one kwasababu ni laptop na pia tablet

View attachment 268060
Inakuja na windows 8.1 upgradable up to Windows 10
View attachment 268061

Imetengenezwa kwa ushirikiano na Microsoft ikitumia cheap za intel
View attachment 268062

Unaweza ku Google ukaiona na sifa zake zote, hii tablet/laptop imenikosha kwakweli

I can't wait to grab it on my hands

NOTE
Hii Win pad 10 sijaiona isipokuwa kwa msaada wa google

NIMELETA UZI SI KUTOA PROMO ILA KUWAJULISHA TECNO FUNS KUWA NDG YETU KAWEZESHA TENA NA SASA KWA UKARIBU KABISA NA MICROSOFT

TECNO WANAKUA

= chip
 
Tecno hatengenezi simu wala tablet unless mtu alete ushahidi WA headquarter na factory zao zilipo.

Ninavyofahamu hawa jamaa wanabrand tu vitu. Kuna kampuni zinatengeneza hivyo vifaa halafu wao wananunua na kueka jina.

Even wewe ukiwa na dola zako 10,000 mpaka 20,000 tunaenda china tunarudi na mzigo.

Nadhani anazungumzia hiyo product ya tecno katengeneza nani, is no ones business.
 
Tecno wapo vizuri...natumia boom-J hapa ipo vizuri acha kabisa
 
Tecno hatengenezi simu wala tablet unless mtu alete ushahidi WA headquarter na factory zao zilipo.

Ninavyofahamu hawa jamaa wanabrand tu vitu. Kuna kampuni zinatengeneza hivyo vifaa halafu wao wananunua na kueka jina.

Even wewe ukiwa na dola zako 10,000 mpaka 20,000 tunaenda china tunarudi na mzigo.

Kweli kabisa, kunakipindi nilikuwa sichuan china, wakati nipo kwenye ndege kuna mchina aliiona tablet yangu ya techno akaniuliza hiyo inatengenezwa nchi gani!? Nikamwambia hii imetengenezwa china akaniruka kwamba hajawahi ona device za techno na wala hakuna KAMPUNI YA TECNO CHINA... Ili kuthibitisha hilo nilizunguka almost maduka yote maarufu ya simu Chengdu na sikupata tecno hata moja
 
Iyo win 8 pad itakua bei gani hapa bongo nianze kujikusanya nguvu.
 
Mkuu mbona unapenda kutudanganya wa Tanzania wakati siku izi dunia ya Google ipo mikononi?

Iyo win book uliotoa hapo inayouzwa dola 60 naomba link hapa alafu uilinganishe na ya tecno

Win book inayouzwa dola 60 ina 7" na hupati ikiwa full na hata na keyboard cover ya typing

Ile ya tecno ni 10.1" then ni complete na kitako chake si keyboard cover, specifications zake ni superior ina 2GB ram na internal storage ya 32gb

hivi unasoma wewe? wapi nimesema win book ina specs sawa na hio win pad ya tecno? toka juu nimesema ni inferior product najiquote coment yangu ya juu

kaka hii tablet ya windows inaitwa win book inauzwa marekani dola 60 (shilingi 120,000)inarun full windows, japo ina inferior specs kama 1gb ram lakini inatumia same processor sawa na hio tecno

hapa tulikuwa tunazungumzia ile comment yako kuwa tecno ni kama machinga anasaidia watanzania mimi ndio nikakuonesha watu wanatengeneza tablet kwa dola 60 tu hawa ndio wakombozi na sio huyo anaetengeneza kwa laki 6.

hata iyo win book ya 10.1" bei yake bila kuwa complete na cover ni usd 190 bila keyboard

Nimepitia amazon, e bay na kwingineko ukitaka complete full na key board ya hybrid ni dola 290 mpk 301$ sasa iyo kwa exchange rate sio 650000/= na zaidi ya Tanzania?

Alafu iyo win book TW 100 10.1' ni tofauti na ya tecno izo unazosema wewe si 2 in 1 hizi unazosema zinawekewa keyboard ya kawaida tu kama tablet nyingine, angalia ya tecno ilivo, kama unabisha lete picha utuoneshe hapa iyo win book ikiwa na hybrid combination kitako chake kinachoifanya 2 in 1 Bei yake alafu ulinganishe na tecno

Ifikie hatua ukubali mkuu vitu vilivo wazi dunia sio kijiji tena

unasema inauzwa dola 190 ya 10 sasa huoni hio ni around 380,000 still nitasave 200,000 nikinunua win book?

then umekazania keyboard kwani inauzwa sh ngap keyboard? keyboard haijustify ongezeko la bei sana sababu zimejaa kibao mtaani. ukumbuke upo ulimwengu wa windows kitu chochote kinachokubali kwenye desktop au laptop kinakubali kwenye tab ya windows iwe ni keyboard ya 10,000 ya uhuru, mouse ya 5,000 ya kumwaga chini, webcam nk

then nimekwambia kampuni zote kubwa zinatengeneza hizo tablet tena kwa bei rahisi zaidi hapa nakuonesha hizo tablet na link zake kuwa ni za bei rahisi. ikumbukwe hakuna kodi kwenye vifaa vya education hivyo bei haitakuwa tofauti sana na bei ya nje.

1. asus vivotab note 8
dola 135 (270,000) amazon Amazon.com: ASUS VivoTab 8 M81C-B1-BK 8-Inch 32GB Tablet (Black): Computers & Accessories
-hii tablet ina hadi support ya kalamu ya wacom sijui kama hio win pad inayo kitu muhimu zaidi kureplace kalamu.
07_last.jpg


2.dell venue 8 pro
dola 189 amazon (shilingi 380,000) Amazon.com: Dell Venue 8 Pro 5000 Series 32 GB Windows 8.1 Tablet: Computers & Accessories
dellVENUE8PRO.jpg


3.asus transformer book t100
dola 199 (tsh 400,000)- Amazon.com: ASUS Transformer Book 10.1 inch Detachable 2-in-1 Touch Laptop, 32GB Storage: Electronics
Transformer-Book-T100_3.jpg

one of the best tablet toka asus ina option ya keyboard yenye hard disk ya 500gb.

4.acer aspire switch 10
dola 219 (tsh 440,000)-http://www.amazon.com/Acer-Aspire-S...F8&qid=1436955662&sr=1-1&keywords=acer+2+in+1

AspireSwitch10_series_main.png


mpinzani mkubwa wa asus t100 hio hapo juu.

bwana dumelang hebu niambie win pad unaweza compare na tab gani hapo juu? asus t100? aspire switch 10? na zinacost bei rahisi kuliko tecno na zimetoka kampuni kubwa zinazojulikana.

tecno wana supply nzuri nchini kwetu zaidi ya hilo hawana chengine simu/tab zao nyingi ni zinauzwa sawa au bei ghali zaidi kuliko makampuni mengine makubwa ila sababu hizo bidhaa hazifiki nchini kwetu watanzania tunakuwa brainwashed kuamini hivi vifaa visivyojulikana vinapotengenezwa kuwa ni bei rahisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom