Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
bora ingelipuka ila kwa jinsi ilivyokufa nimebaki mdomo wazi , ilianza kufa system charger ikafatia network yaan hapa ni miezi minne toka niichukue ni tecno c8Imekufanyaje hiyo tecno?,imekulipukia kama samsung S7?
kivipi?acha kuzingua mtoa mada
imekufa system charger na network ndo kabisaaaa hata haifanyi kazi ,nimekaa hapa natazamana nayo.Sasa hutaki kueleza, kwan sisi vichaa tukuelewe bila kueleza? Acha sifa za kijinga
nimeamini leo ila niliambiwa nikafikiri wanasingiziwa ila sasa hv nimeamin ni mabomuWe umejua leo? Mbona kitambo wapo hivyo
bora iwe hivyo,ila sio tecno tenaWe nenda kachukue hao wengine, nao kuna sku utawaambia byebye.
imekufa system charger na network ndo kabisaaaa hata haifanyi kazi ,nimekaa hapa natazamana nayo.
b
bora ingelipuka ila kwa jinsi ilivyokufa nimebaki mdomo wazi , ilianza kufa system charger ikafatia network yaan hapa ni miezi minne toka niichukue ni tecno c8
kivipi?
Acha kutafta kiki bila sababu, kwan kuharibika system charger ni coz of tecno? By the way umepewa ushauri wa kwenda tecno service centerimekufa system charger na network ndo kabisaaaa hata haifanyi kazi ,nimekaa hapa natazamana nayo.
itakua uliuziwa famba mimi nina3c8 Leo imetimiza mwaka iko mma kabisa haina tatizo lolote lile.b
bora ingelipuka ila kwa jinsi ilivyokufa nimebaki mdomo wazi , ilianza kufa system charger ikafatia network yaan hapa ni miezi minne toka niichukue ni tecno c8
kivipi?
Acha kutafta kiki bila sababu, kwan kuharibika system charger ni coz of tecno? By the way umepewa ushauri wa kwenda tecno service center
Nenda ofisi zao pale, samora nhc house, Kama bado ipo kwenye warranty wakutengenezee, hakuna kifaa cha electronic kilicho perfect, cwez acha kutumia tecno. I'm a die hard fan of themb
bora ingelipuka ila kwa jinsi ilivyokufa nimebaki mdomo wazi , ilianza kufa system charger ikafatia network yaan hapa ni miezi minne toka niichukue ni tecno c8
kivipi?