Cx camon Vipi sokoni na ubora wake
Siwapati GSM ARENA hawa Tecno sijui ni kwanini?
Bei nafuu tsh ngapi?Wakuu juzi Kati nimeingia town nikachukua guy mzigo
Nice techno spark k7 , nawaona tecno Sasa wamejirekebisha cuz mzigo upo vizuri kuanzia kiioo, camera vyote vipo clear
Wamejiongeza na kuweka finger sensor ambayo utasajili vidole vyako kwa ajili ya security
Na bei ina unafuu
Huko kwenye betri ndio wameuwa mzigoo unatunza chaji hatare
Kwa tsh ngapi mkuu na Mimi nijipange?Mkuu Mimi nimechukua hii k7 ni balaa.. Ina finger sensor yani hatare
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yaan wwMimi on meridhika na itel s 11 INA ubora wa hali ya juu
Bei yake nafuu mno
Hiii kiboko aseCx camon Vipi sokoni na ubora wake
Bestmob ingiaSiwapati GSM ARENA hawa Tecno sijui ni kwanini?
Tecno cx air sh ngapCamon CX Air is one cool Tecno...
Tecno cx air sh ngap
Hongera mkuu...tunaishi katika dunia tofauti lazima kutofautiana baadhi ya vituendelee na ulimwengu wenu uo# mimi nlikua na samsung note 3 nkabadili niko iphone 6 najipiga nipate iphone 8+ au x...techn n simu ambazo sitakuja tumia..maisha yangu yote...sijui nazionaje
Fitina ya muzunguu hiyoSiwapati GSM ARENA hawa Tecno sijui ni kwanini?