TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TECNO Tanzania, Toeni mitakataka yenu.
Simu zenu ni za hovyo Sana, sitasahau siku ambayo simu yangu ya tecno ilipojituma sms kwa ma x girlfriends zangu wote ujumbe unasema "I MISS YOU DEAR, WITHOUT YOU I'M FUCKED"
izo midiadek ni kama chip au nn iko. na zipo kwenye tecno tu?Mediatek ni meditek.. tatizo sio camera ni chipset
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *****TECNO Tanzania, Toeni mitakataka yenu.
Simu zenu ni za hovyo Sana, sitasahau siku ambayo simu yangu ya tecno ilipojituma sms kwa ma x girlfriends zangu wote ujumbe unasema "I MISS YOU DEAR, WITHOUT YOU I'M FUCKED"
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]TECNO Tanzania, Toeni mitakataka yenu.
Simu zenu ni za hovyo Sana, sitasahau siku ambayo simu yangu ya tecno ilipojituma sms kwa ma x girlfriends zangu wote ujumbe unasema "I MISS YOU DEAR, WITHOUT YOU I'M FUCKED"
Zipo kwenye hizo tecno na mabinamu zake kama kina itel n.kizo midiadek ni kama chip au nn iko. na zipo kwenye tecno tu?
Camera yenyewe ni hovyo. Sisi watu weusi ndio tunapenda tecno inatutoa weupe au tunang'aa kutokana na ile high colour saturation ya tecno camera.Haishangazi kuona umesifia battery na Camera tuu...
Ndio maana siku zote mtumiaji wa tecno akiwa kweny battle na simu nyingine anapanic, anachosifia ni battery na camera..
Niambieni leo kitu gani mtumiaji wa tecno tunasikia wanajivunia..?