Tecno Spark-4 inauzwa

Tecno Spark-4 inauzwa

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
3,015
Reaction score
4,403
Habar wakuu, nauza simu yangu Tecno spark 4. bado mpya kabisa kwasasa siitaki, nauza k250 tu, kwaAnayehitaji aje PM
Screenshot_20191214-140111.jpeg
IMG_20191214_135859_387.jpeg
IMG-20191214-WA0000.jpeg
IMG-20191214-WA0001.jpeg
IMG-20191214-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wenye uchumi mdogo ukiona unatabia ya kushindana na viwanda vya simu andika umeumia,mara iPhone x,mara xiomi mara....oohoo.Mwisho umaskini huu hapa ...lakini ngoja waje maana ni bei nzuri.Lakini kwanini huitaki? Inashida gani?.
 
hapana nmeamua tu Kuna infinix nmeipenda nmeona nkachukue lakini ngoja niuze hii kwanza maana itakuwa uchafuzi wapesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom