Tecno spark 4 air performance imekaaje?

Tecno spark 4 air performance imekaaje?

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Wadau nilikua natumia Samsung Galaxy s4 mini black aisee hii simu naipenda saaana sema tatizo ni Android version yake iko outdate kako simple yaani ni nzuri sana.

Sema nataka kununua simu pendwa hapo juu.

Bei around 250,000.

Naomba kuuliza vp performance yake jamani Asante
 
Wadau nilikua natumia Samsung Galaxy s4 mini black aisee hii simu naipenda saaana sema tatizo ni Android version yake iko outdate kako simple yaani ni nzuri saana
Sema nataka kunua simu pendwa hapo juu
Bei around 250,000
Naomba kuuliza vp performance yake jamani Asante
TECNO usinunue.
Kwa bajeti yako unapata Xiaomi redmi 9 A.
 
Perfomance yake ni lowend sana, ina core 4 tu za cortex A53.

Kwa hio Budget kama unaweza kuongeza kidogo A11 naona unazipata 290k siku hizi, pia kwa kuagizia kenya unapata redmi 9 around same price.
 
Asante saana mkuu
 
Xiaomi inaonekana ni simu inayochukua sana chati kwa sasa. Siri ni nini haswa?
Wanauza simu kwa cost price, hawana maduka wala service centre wanategemea sana mauzo ya Online na chanells ambazo ni 3rd party.
 
Xiaomi inaonekana ni simu inayochukua sana chati kwa sasa. Siri ni nini haswa?
Xiaomi simu zao zina fanya vizuri sana kwa both hardware and software...

Sikuhizi sina stress za kuishiwa charge.

User interface ya Xiaomi inavutia sana.

Processing speed ni kubwa.

Kuna mazingira ambayo network zina sumbua kwa watumiaji wa simu kubwa (smart phones), but tangu ninunue Xiaomi redmi 9A network hazisumbui tena.

Simu naitumia at maximum, lakini haipati joto .
Hii Redmi 9 A, haifanyi vizuri kwenye upande wa kamera wakati wa usiku ila mchana inafanya poa sana.

Ni simu ya bei nafuu sana Tsh 250,000/= kwenye maduka ya Kariakoo.
Kwa ambao mfuko unaruhusu,zipo Xiaomi zenye spec za kibabe.

Zingatia..
Kwa wazee wa burudani ya muziki, hiizi simu za Xiaomi zina sound system poa sana.
 
Redmi 9C nipo nayo apa na enjoy fresh

Hii simu user interface yke inavutia sna

Back
Top Bottom