reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,826
- 21,945
Naongea haya nikijua ya kua, wateja wengi wa tecno hununua simu kwa mihemuko, yaaani likitoka toleo flan likasifiwa basi kila yule atataka kununua, kumbuka enzi za H6, P5, Boom J7, C8, C9 n.k n.k kila mpenzi wa tecno alizitamani, zikaja Cx, Cx Air n.k nazo zikashikaa, hizi zote sidhani km zilikua na copy na kam ndio basi chache sanaaa,
sasa kimbembe kimekuja kwenye tecno spark 2, unajua kwa nn spark 2 iwe tecno ya kwanza kua na copy nying? na mm ndio copy ya kwanza ya tecno kuona , hii kitu ukiipata yenyewe O.G basi kati ya simu za tecno hii umepata, ni tofaut kbsa na tecno nyingnee , kuanzia user interface, tecno pekee inayokuja na lite android Go Apps kutoka google(kumbuka hii ni pure google), tecno ya kwanza kbsa kuingizwa GSMArena, hii inamaanisha iko recognised hata nje ya africa, ukichukua samsung A6+ ukaweka mezani ukaset the same wallpaper na hii waweza ushindwe kutofautiasha kwa juu nje
,
kwa ufupi ni simu nzuri na tofaut na tecno nyingne km ilivyokua kwa H6 enzi zilee(mm sio mpenzi wa tecno ila ile H6 ilikua bonge ya simu na sasa hii)
nisiwachoshee,
copy yake kwa macho ni ngumu sana kuijua hasa km hujawah shika o.g yake, kuanzia boks vinafanana kwa ukubwa sanaa, kwaio unatakiwa uijue kabla hujafungua, kumbk wafanyabiashara wanakuambia kbsa, simu ikishatolewa kwenye boks ni yako hioo, na hapa ndio wanapowaumiza wengi maana isingekua hivyo ningekuambia ukiiwasha ukiona tuu pale juu imeandika 4G ujue hilo ni famba, maana hili hata hujaweka line linaandika 4G, ukiweka line na kawasha data utaona 4G mbilii, hivi nikikuambia kati ya hizi pics hapa chini, ni moja tuu ndio spark 2 o.g utaamini? Na nikikuambia ubeti ni ipi kwa asilimia kubwa utabetuliwa
, ukifika dukan mfn k.koo:
its timing vs awareness,
smartness and speed of resoning will decide the winner.
Akili kumchwwako, za kuambiwa chamganya na zako