vitu vizuri vya hio simu
-ina ram 1gb
-inapokea updates na itaenda windows 10
-bei yake rahisi sana unaipata hadi 150,000 ukiitafuta vizuri.
-ipo smooth muda wote sababu ni windows phone, na itakaa miaka mingi bila kuwa outdated
vitu vibaya vya hiyo simu
-processor yake ni ndogo na haina 4g
-camera yake ni 2mp tu
-baadhi ya games na apps haina sababu inatumia windows phone
ushauri wangu angalia kwanza kama utaipenda windows phone, kama kwako ni ok ni simu nzuri sana hasa kwa budget hio ya 150,000 ikiwa mpya.
ila kama unaweza kuongeza budget around 200,000 hadi 300,000 tafuta simu ya snapdragon 410 utapata simu nzuri yenye 4g, processor nzuri ya 64bit, gpu nzuri, ram kubwa nk mfano wa simu hizo ni kama
-galaxy core prime,
-huawei y550,
-motorola moto E lte,
-xiaomi redmi 2