Tecno sasa inapokea Updates

Tecno sasa inapokea Updates

cee6b2e4f93e5aaa75de9160ff641b56.jpg
 
Ha ha ha jamaa anataka marshmallows yenye 4g....

Tatizo la elimu yetu ilipaswa ICT liwe somo kuanzia level flan za msingi
 
yap zinatumiwa na oem wakubwa ila umeshawahi kufanya hata research ya dakika mbili kuhusu utofauti wa simu za mediatek na za qualcomm au exynos za kampuni moja?

hebu search tofauti ya meizu mx5 na meizu pro 5, au xperia c5 na wenzake wa qualcomm uone. sony ilikuwa ni moja ya kampuni inayosifika kwenye battery life na simu kama z3c zinakaa na chaji kupita kiasi kwa kibattery kidogo cha 2600mah, ila cheki za mediatek sasa ni aibu.

kuhusu tecno zipo sababu nyingi na kila siku naongea na kila siku nawauliza hili swali na kila siku hamulijibu na leo pia nitaliuliza tena. JE NI TEST GANI AU NI NCHI IPI TECNO IMEPASS SAR VALUE KUWA INAFAA KWA MATUMIZI YA BINADAMU? leo hii waziri husika au wewe munatuhakikishia vipi kuwa simu zote za kichina zinazouzwa Africa tu ni salama kwetu?

leo hii zikija kugundulika zina madhara kwa kampuni ya simu hata isiojulikana HQ zipo wapi utamdaka nani?

siku nyengine usifananishe kabisa Tecno na Huawei/Samsung/Sony/Lg nk

Hiyo ya kupass viwango vya matumizi ya binadamu sikuwa nimeifikiria ila kwa maelezo yako nahisi ni kweli hazijapata ithibati maana ukienda China kwenyewe kwenye jiji kama Shanghai, hakuna sehemu wanauza TECNO. Hata kwenye "Machinga complexes" za kwao kama pale kwenye soko la Shanghai Science and Technology Museum hutakuta TECNO inauzwa. Hii ni hatari kama tunatumia (na mimi ndio natumia), simu sizizo kidhi matumizi ya binadamu.
 
Ha ha ha jamaa anataka marshmallows yenye 4g....

Tatizo la elimu yetu ilipaswa ICT liwe somo kuanzia level flan za msingi
Sio ivo kuuliza sio ujinga kama ilikuwa 3g auto ika update ikawa only nikajua 4g itakuwepo
 
Sio ivo kuuliza sio ujinga kama ilikuwa 3g auto ika update ikawa only nikajua 4g itakuwepo
Ndio maana nikataka mkuu tuwe tuna brashiwa mapema shule ili tujue hardware na software/application.
 
Ndio maana nikataka mkuu tuwe tuna brashiwa mapema shule ili tujue hardware na software/application.
wanafundishwa sasa hivi mashuleni kuna somo linaitwa TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano)
 
Kiukweli pamoja na hiyo update bado tecno ana kazi ndefu na ngumu sana

hata msiwe mnasema mnaenda kulingana na iphone mseme hata kuwa njia moja na huawei tu

lakin bado naona tecno wanajitahidi sana ukilinganisha umri walionao kweny soko na namna wanajitutumua kweny kutengeneza simu.
 
Wakuu february ndio ileeeee inaelekea jioni, any newz kuhusu update ya tecno C8.
 
Yah hizo Ni update za kawaida za skin ya tecno (sijui initwaje) na si update za os yaani android.

Though sio mbaya ILA bado sana
Mkuu ww ni mtaalam wa IT, hivi hizi smartphone tununue Kampuni gani tuone Value for Money mkuu?
Msaada plz
 
Back
Top Bottom