Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,221
Ubora was Tecno uko wazi kabisa ndio maana unapewa warranty ya miezi 13. Labda na we we nijuze hiyo gallaxy yako unapewa warrant ya mud a gani!
samsung miezi 24 na kuna simu unapewa accidental damage from handling.
ndio kampuni pekee africa inayotoa hivi vitu.
kwenye hio adh unapewa faida hizi
1. kutengenezewa kioo kilichopasuka mara mbili
2.kutengenezewa simu ilioingia kimiminika (maji) mara mbili
3. kutengenezewa kioo kilichodondoka mara 1 na maji mara 1
hapa hujaongelea suport kaka ukiwa na tatizo samsung kuna jamaa wa customer care unachat nao hapo hapo unapewa solution.
hao tecno hata headquarter yao haijulikani ilipo hawana hata customer care, matatizo yao yanatatuliwa jf.
Umeanza vizuri ukaharibu mwishoni. Kama uko serious nitakupa link yao upate kuchati nao roho yako iridhike. Tatizo umeathiliwa na ukolani mambo leo kwa kuona kila anachotengeneza mzungu ni bora.

nitajie headquarter yao ilipo, ceo wao, mkuu wa design anaezidesign simu, shareholder na wengineo kuna kavocha hapa ntakupa
Hivi kweli ndg yangu unaweza kuongelea ubora wa simu au PC akaacha kuongelea operating system yake?? Sababu Os ndio ubongo kama ilivyo kwa binadamu. Mfano kama binadamu bongo wake haufanyi kazi vizuri huyo utamwita nani? (Mwehu au kichaa). Sasa wewe mtaalamu wa IT unasema OS is nothing kwa ubora wa cm au PC unanitia shaka kidogo na elimu yako.
Ubora wa device unatokana na Os inayotumia?
Kuna Pc mpya toka kiwandani inauzwa sh 500,000 na na nyingine milioni 2. Na zote zinatumia OS ya windows 8 na zote zina ukubwa sawa na zote zinatoka kiwanda kimoja DELL.
Kuna chinese phone haina jina initwa Android ina run Os kama ya Phantom A+, ukubwa kama wa phantom A+ na inauzwa sh 100,000 lakini phantom A+ inuzwa k4 na ushee
Kama kweli una akili timamu unaweza kuniambia kwanini zote zinatumia OS ya Windows 8 na Androind jelly beans lakini zinatofautiana bei kiasi hicho?
OS sio ubongo wa device mkuu acha kuchanganya madesa, ndio maana narudia tena kusema wengi mnajidanganya kwa kudhania ubora wa chinese phones unatokana na kurun Android........
Ubongo wa device ni
RAM
PROCCESSOR
ROM
CAMERA
AND MATERIALS
Nk Nk
Naacha wadau watuhukumu kwenye hili maana kadri unavyojibu ndivyo unaonyesha ni jinsi gani hujui unachoandika
Camera nayo ni sehemu ya ubongo?? Inamaana cim bira kamera haiwezi Fanya kazi? Basi Mimi nakomea hapa hadi nawengine wenye ufahamu zaidi wachangei make itaonekana tunamaslahi binafsi.
samsung miezi 24 na kuna simu unapewa accidental damage from handling.
ndio kampuni pekee africa inayotoa hivi vitu.
kwenye hio adh unapewa faida hizi
1. kutengenezewa kioo kilichopasuka mara mbili
2.kutengenezewa simu ilioingia kimiminika (maji) mara mbili
3. kutengenezewa kioo kilichodondoka mara 1 na maji mara 1
hapa hujaongelea suport kaka ukiwa na tatizo samsung kuna jamaa wa customer care unachat nao hapo hapo unapewa solution.
hao tecno hata headquarter yao haijulikani ilipo hawana hata customer care, matatizo yao yanatatuliwa jf.
wadau ningependa kujua zaidi kwa mwenye uelewa wa hii simu ya kichina ya tecno phantom A+, hasa kwa ambaye keshaitumia niweze kujua ubora wake.
Tecno wanayo calcare ambayo unawasiliana na mtoa ushauri popote ulipo kulingana na nchi uliyopo mi nimefanya hivyo,na agent wa tecno kwasasa yupo kariakoo.ikihatibika simu unapeleka unahudumiwa vizuri labda hemu jaribu kwanza kama utakosa huduma
Ni ukweli usiopingika Tecno wameliteka soko la simu hapa nchini hadi kwenye simu za kawaida kwa rate yangu kila ukikutana na watu 10 watatu kati ya wanna simu aina ya Tecno , kinachowaweka kwenye masoko no ubora was bidhaa zao hasa upande wa betri zinazoaminika kuwa na ubora kuliko hata za Nokia ......kingine ni kituo chao cha Carl Care service kinachohudumia wateja bila ya usumbufu sasa tuende wapi zaidi ya kununua Tecno ?
Tecno wanayo calcare ambayo unawasiliana na mtoa ushauri popote ulipo kulingana na nchi uliyopo mi nimefanya hivyo,na agent wa tecno kwasasa yupo kariakoo.ikihatibika simu unapeleka unahudumiwa vizuri labda hemu jaribu kwanza kama utakosa huduma
tecno anatengeneza battery au anachkua za nokia anaeka label yake?
huyo ni customer care wa mawakala kama vile nokia na midcom ila sio wa tecno.
kama huamini muulize kaswali kagumu gumu uone atakavyohaha au nipe contact ya kuchat nirudishe feedback ya snapshots.
mkuu ufafanuzi tafadhali. inakuaje battery ya nokia iandikwe tecno?