Tecno phantom 5 yazinduliwa

Ila chief hii band zake za 4g za 800/850/2100/2600 bila shaka zinaendana na mitandao yetu,
Kuliko ile ya C5 uliosema haitokubaliana na mitandao yetu ya simu

Natumia c5, IPO vizuri sana.
 
kufupi mimi ni mmoja wa watu nilikuwa supend brand za TECNO tok miaka ya nyuma hasa sim zao za kwanza...ila baada ya kujaribu smartphone zao zinaubora sawa na hzo nyingine...nnayo H6 ni nzuri kwa upande wangu
 
Jobrize.com TEMBELEA HIYO LINK APO UPATE AJIRA ONLINE YA NETWORKING MARKETING UPATE KULIPWA KILA SIKU NA MWISHO WA MWEZI NI KWELI MSIPUUZIE

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
kufupi mimi ni mmoja wa watu nilikuwa supend brand za TECNO tok miaka ya nyuma hasa sim zao za kwanza...ila baada ya kujaribu smartphone zao zinaubora sawa na hzo nyingine...nnayo H6 ni nzuri kwa upande wangu

Subiri ant tecno waje
 
Kwa spec hizo za 32 GB storage na 3GB RAM laki 7-8 ni fair kabisa ila kwa vile tumewazoea ni watu wa low end inakuwa ngumu kuwaamini na simu zote hauwezi kujua ubora kwa kuangalia specs tu lazima uitumie ndo utajua.
 
cortex a53? ukumbuke hakuna processor ya 64bit dhaifu kushinda a53 hio ndio ndogo kabisa inapitwa hadi na cortex a15 ya 32bit pamoja na krait. na gpu yake ni mali 720 ambayo pia ni dhaifu usitegemee magic hapo

ukiuziwa pc ya 8gb ram na hdd ya 1tb lakini ina processor ya intel atom inamake sense?

atleast hata wangetumia helio series ya mediatek ina cortex a72 kidogo ingeleta unafuu.

siku hizi unapata simu kama lg g2 used kwa 400,000 na mpya around 500,000 yenye snapdragon 800 (krait) full hd screen na ram 2gb why nitoe 700,000 kwa ajili ya cortex a53?
 
kufupi mimi ni mmoja wa watu nilikuwa supend brand za TECNO tok miaka ya nyuma hasa sim zao za kwanza...ila baada ya kujaribu smartphone zao zinaubora sawa na hzo nyingine...nnayo H6 ni nzuri kwa upande wangu

yani wewe unafananisha h6 na brand kubwa kama samsung lg sony htc na huawei.
h6 ndo vimeo vinavyoongoza kwa thread humu ndani.
kiufupi tecno wakupambanisha nae ni itel labda.
 
yani wewe unafananisha h6 na brand kubwa kama samsung lg sony htc na huawei.
h6 ndo vimeo vinavyoongoza kwa thread humu ndani.
kiufupi tecno wakupambanisha nae ni itel labda.

wabongo kwa kuponda mbona hata cha tochi mmeshindwa kutengeneza.
 
kama ana hela ndogo, mwache anunue tecno anayoimudu. so far inamwezesha kufanya matumizi yake yote

sio issue ya kuwa na hela ndogo au kubwa, issue ni kwamba sababu siwezi kutengeneza simu ya tochi basi sitakiwi kuponda bidhaa yoyote ya simu. logic hii ukiileta maisha ya kawaida inakuwa hivi.

-sababu hujui kulima mama ntilie akipika chakula kibaya usilalamike kula tu
-sababu hujui kushona nguo ukishonewa hata sketi na we ni mwanaume vaa tu
-sababu hujui kujenga nyumba fundi akitengeneza yenye ufa na upande mmoja asipopaua potezea tu.

hela ni zetu eti sababu hatuwezi kutengeneza simu basi haturuhusiwi kuhoji ubora wa bidhaa hii logic sikubaliani nayo kabisaaa.
 
Kweli mkuu laki 8 nyingi
 
Kwanini uiponde Simu ya MTU (tecno) , wakati watu wanatumia tecno..same phone zaidi ya mwaka sasa? Huo sio ubora?
 
Kweli mkuu laki 8 nyingi

Laki nane nyingi ndio ila inadeserve kwa Simu kama hiyo. So as Simu za brand nyingine zinazouzwa arround milioni mbili huko. What I am saying is that, tuache kupondea vitu wakati hatujawahi vitumia .
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…