Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,595
Sasa kununua tecno+mediatek yake kwa laki 7 si ni wendawazimu wakati kwa laki 4 utapata simu bora sana
Mdiatek is a bitch
Tecno wametoka mbali jamani,learn to appreciate samsung fan boys/girls.Wameweza kuwa innovative sana tu na simu zao ni imara tu kama zilivyo simu nyingine ingawa factory defects zinaweza kutokea at times na kupelekea simu zao kusumbua kama itokeavyo kwenye brands maarufu kama samsung,sony,LG n.k
Wamedhihirisha kuwa mbadala kwa wapenzi wa simu za smartphone ambazo zinajali afya ya mteja kiuchumi,yani kwa gharama nafuu unaweza kumiliki smartphone ya kisasa ya tecno tofauti na smartphone za makampuni mengine ambazo bei zake zinakuwaga juu mno.
Ninachoona shida ya tecno ni jinsi walivyoliingia soko ndio kinachofanya watu wengi waipondee maana walianzaga na simu ambazo ni purely za kichina na za bei rahisi tu na zikawa zimezagaa mjini hazikuwa na uspesheli wowote ingawa mara kadhaa zilionekana kuwa imara(likes of nokia) kuliko simu yoyote iliowahi kujulikana kama mchina,hata walipoanza biashara ya smartphone pengine ni bora wangeanzisha kujiita jina tofauti kwa ajili ya kujenga upya reputation ya bidhaa zao.Matokeo yake watu wakawa wanaona smartphone gani za tecno tena mchina,zitakuwa hovyo tu kama simu za michina ilivyo ila kadri muda unavyosonga tecno wamezidi kujiboresha kwa kutengeneza simu imara na za kisasa kama makampuni mengine na hata wapo walioamua kuzijaribu wakagundua zipo poa sana.So mi naona tusizipondee tecno kwa bias zetu tu they are also good as other brands but itategemea na preference yako na kama we ni mtu wa name brands(samsung,sony,nokia,LG n.k) na unaweza kuendelea kuzinuna kwa gharama yoyote ile kuwa huru usinunue tecno,ni hayo tu!
Lkn pamoja na hayo hii simu bila ya pesa kuanzia laki 7 huinunui
Mkuu unazungumziaje lg pro nataka nibadilishane na mtu kwa lumia 540 hapo vipi unazielezeaje hizi simu japo nafahamu os ni todauti ila kiufanisi ipi kali??! Nashukurukaka nimeshatoa proof nyingi sana kuwa tecno si affordable unapovuka budget ya 200,000, ila watu wanakuwa brainwashed kuwa tecno ni za bei rahisi ndio maana wanafall kwenye tricks zao.
mfano nakupa simu kama moto e inatumia processor sawa na simu highend ya tecno kama phantom z, na moto e inapatikana as low as dola 99, inapata updates, ina camera decent bila kusahau good battery life.
simu kama lg g2 sasa hivi zinapatikana kwa dola 199 huko ughaibuni kama utanunua ebay na hapa tanzania unazipata around 500,000 hadi 600,000 ambayo ni rahisi kuliko flagship za tecno. lg g2 inatumia snapdragon 800 ambayo hakuna simu ya tecno yoyote ile iliyowahi kutengenezwa yenye processor powerfull kama hio (krait). angalia specs za hio lg g2 online halafu njoo niambie tecno wanatengeneza simu za bei rahisi.
sasa hv simu za snapdragon 410 zimejaa kibao kwenye price range ya 200,000 hadi 300,000 simu kama moto e, galaxy core prime, huawei y550, nk zina power kama tecno ya 600,000 huku zinauzwa kwa bei rahisi tu.
Mkuu nakubaliana na wewe,mi binafsi ni mpenzi wa smartphone ila napend name brands (sony,htc,samsung,nokia,LG) sana sana.
Inapotokea sina budget ya kutosha ndio huwa natumia simu za tecno ama huawei na kimsingi siwezi kununua simu ya tecno kwa bei ambayo nitapata sony xperia kali,ama samsung galaxy kali that will never happen na hata tecno strategy yao ilikuwa ni kuwafikia watu wa hali duni nao wamiliki smartphone,utakuwa mwenda wazimu kununua tecno laki 7
MTK now inafanya vizuri sana na tena simu zake hazi heat kama simu zinazotumia snapdragon kama Samsung nk ina ubora fatilia tena MTK Hello x20 uone mziki wake
MediaTek Launches the MediaTek Helio⢠X20: The Worldâs First Mobile SoC Featuring Tri-Cluster⢠CPU Architecture - MediaTek
Mkuu unazungumziaje lg pro nataka nibadilishane na mtu kwa lumia 540 hapo vipi unazielezeaje hizi simu japo nafahamu os ni todauti ila kiufanisi ipi kali??! Nashukuru
Hii tecno phantom 5 ingekuwa chini ya laki7 ningenunua
MTK now inafanya vizuri sana na tena simu zake hazi heat kama simu zinazotumia snapdragon kama Samsung nk ina ubora fatilia tena MTK Hello x20 uone mziki wake
MediaTek Launches the MediaTek Helio⢠X20: The Worldâs First Mobile SoC Featuring Tri-Cluster⢠CPU Architecture - MediaTek
Hizi kelele za wabongo bwana... Eti mediatek ni chip mbovu. Tunagoogle kwenye viblog na review za wanafunzi wa kihindi nahitaji mtu aliyesoma electronics-microcontollers aje hapa. Hakuna siasa.
Mediatek imetumika na
Huawei
Hisense
Sony experia
Na hao ni wazuri katika ict , tusiegemee kwenye swala la updates tu. Mbona unabadilisha simu kabla hata ya miezi 6 update zimeplay nini hapo?
Post yako yooote hujataja iPhone dah, hata kamfano ka1?
Hivi hizi Tecno zimetarget kuuzwa Afrika pekee? Nimeuliza uliza huwez pata tecno ulaya, amerka au Australia. Vip kuhusu mionzi, operating system, camera?
Hizi kelele za wabongo bwana... Eti mediatek ni chip mbovu. Tunagoogle kwenye viblog na review za wanafunzi wa kihindi nahitaji mtu aliyesoma electronics-microcontollers aje hapa. Hakuna siasa.
Mediatek imetumika na
Huawei
Hisense
Sony experia
Na hao ni wazuri katika ict , tusiegemee kwenye swala la updates tu. Mbona unabadilisha simu kabla hata ya miezi 6 update zimeplay nini hapo?