Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
unless ulikua addicted na feature phone kuna games na apps zako za zamani unazimiss ndo utahitaji hio java. maana jbed haikubali kwenye ics na jellybean
Kumbe ina umuhimi kwenye game hapo mm sio mpenzi so fresh
Na je kuhusu TFT capacitive display ya p3 na lcd ya n3 ipi nzuri?
p3 ni kama n3 lakini imekuwa improved, kwa kuwekwa double core processor, na tourch, lakini kwa betri ile ile , hivyo standby time ni 50hrs less compared to N3.
ikiwa N3 unachagi kila usiku sijui hiyo P3 itakuwaje
P3 tsh 160000,N3 tsh 145000,baadhi ya maduka kariakoo
"VV"
Ni nini icho?
Nishauchukua mzigo tena wa 135
umechukua ipi??
p3 au N3?
smartphone zote kwa vile zinarun ma application nyuma ya pazia umepata sana basi charg hukaa siku 2
uje na Muda wa kukaa Chaji ukoje?
Nimeona P3 huku Songea wanauza 140,000, je nitajuaje kama ni Tecno P3 orijino kwa sababu tecno wenyewe wanadai hizi P3 ziko za rangi tatu ambazo ni nyeusi, nyeupe na njano lakini hizi nilizoziona kuna mpaka bluu ndio wasiwasi wangu.
afu nimeona na n7 ni kubwa kama matoleo ya galaxy ina 1gh processor ila sijajua ram yake. Bt ina android 4.0 na ina double camera 5mg kwa shiling laki tatu tu..naona tecno wanaanza kuchukua soko taratiibu