Tecno N 7 tatizo kidogo

Tecno N 7 tatizo kidogo

Naka boy

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
321
Reaction score
110
Jamani wadau naomba msaada mimi natumia Tecno N 7 shida niliyonayo ni kuwa nashindwa kuangalia video katika You Tube..nikifungua you tube napata ujumbe kuwa

"This app won't run without google play service which are missing from your phone"

Nikidownload hiyo google play service ikimaliza mpaka mwisho wakatu wa kui store inaleta ujumbe kuwa

"Incompatible with other application using the same shared user ID"

Naomba msaada kwenu wadau..Thanks
 
unayo gmail account.kama huna hebu fungua maana huwezi fanya chochote bila gmail account
 
Jamani wadau naomba msaada mimi natumia Tecno N 7 shida niliyonayo ni kuwa nashindwa kuangalia video katika You Tube..nikifungua you tube napata ujumbe kuwa

"This app won't run without google play service which are missing from your phone"

Nikidownload hiyo google play service ikimaliza mpaka mwisho wakatu wa kui store inaleta ujumbe kuwa

"Incompatible with other application using the same shared user ID"

Naomba msaada kwenu wadau..Thanks

Simu zote za androd ua zinakuja na google play service ila watu wengi huitoa kwa kuona haina kazi bali kujaza nafasi, kama umfnya ivo imeshindikana option ya hapo ni kui restore ili simu yako ianze upya.. aksante.
 
Poa kaka nashukul kwa ushauri wako
 
Haina haja ya kufanya restore mkuu. Version mpya ya Youtube inahitaji google play services ili ifanye kazi vizuri. Download latest version yake kutoka playstore.
 
Update Gmail na Youtube kwanza then jaribu kuinstall google play service
Next time.usijaribu ku uninstall kitu usichokijua wala kuwa na hakika nacho
 
Ila hapa naweza kukubali maana kabla ya hapo ilikuwa inaplay vizuri inawezekana baada ya kuupdate ikaanza hayo manyangaPoa kaka ngoja ni downnload sasa latest version unaipataje.kwenye play store.?
 
Update Gmail na Youtube kwanza then jaribu kuinstall google play service
Next time.usijaribu ku uninstall kitu usichokijua wala kuwa na hakika nacho

Kaka hii nilisha jarib ikashindikana
 
Tatizo lilianzaje mkuu?
uli uninstall google play service?

Kaka tatizo hata sijui lilivyoanza..na sijawahi kufanya uninstal ya kitu chochote humu..zaid ya kuwa na update program..nilichokuja kugundua ni hiyo you tube kuleta zengwe hizo
 
Haina haja ya kufanya restore mkuu. Version mpya ya Youtube inahitaji google play services ili ifanye kazi vizuri. Download latest version yake kutoka playstore.

Kaka nashukul sana imekubali fresh..ila tu sija downlod nilichokifanya ni nili unistoll Update...Thaks for ur Idea.
God bless u
 
Yangu ni Tecno N7 natumia youtube kupitia uc browser,na haina google play services,tena nimeiroot.
 
Tecno N7 nyingi zina hilo tatizo, ila mpaka leo sijajua kwanini,google play services hai_install kabisa
 
Back
Top Bottom