Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
Ngoja nianze mimi na hili povu.Hello Techs,
Naona sasa ule ubishi wa kiwango cha ubora wa simu za TECNO kinaelekea mwisho.
Uliwahi anzishwa uzi humu, watu fulani wakakomaa kuwa simu za Tecno hazipo GSM ARENA hivyo hazina ubora wa kuuzika ulaya. USA etc.
Sasa GSM ARENA wameziweka rasmi simu za TECNO , je mna jipya jingine?[emoji23][emoji23][emoji23]
Napokea povu la aina yoyote....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibuni. Hii battle imefufuka upya
Source: GSM ARENA - All Tecno phones
Kwa kweli hakuna namna. Sasa tujiandae kuweka curved screen, on screen fingerprint sensor mnamo 2020[emoji4]Oooh tumepeleka Tecno GSM Arena kwa kodi zetu wenyewe.
[emoji23][emoji23]daaah. Wabongo hamkosi visa. Hili ni la omo kabisa hiliitakuwa wameonga hela
Mkuu lile povu la kutokuonekana GSM arena limesha sasa eenh...Tecno ni vifaa vya mawasiliano unavyotumia ukiwa huna hela .ukipata pesa unanunua simu kama samsung ,nokia na iphone..
Watu wanaoitetea tecno kwamba wanaipenda wakipewa samsung na tecno ni nani atachagua tecno??
Watu tuseme ukweli tu kwamba ukiwa umeyumba kidogo unaymtumia tecno hilo halina ubishi lakini mtu akisema ana mapenzi na tecno aende akatubu tu
Ngoja nianze mimi na hili povu.
Wakiweka Gsmarena si advantage kwa tecno kama unavyofikiri bali ndio wanazidi kuaibika sababu jinsi specification zinavyokuwa revealed ndio jinsi unavyoona ni jinsi gani zilivyo mbaya.
Nimechukua tu simu ya kwanza
Tecno Pop 1s - Full phone specifications
2018 kwenda 2019 bado simu za tecno zina
-manufacturing technology ya 28nm wakati dunia ipo 7nm sasa hivi hapo kuna generation kibao imepitwa kutoka 28nm kwenda 22nm kwenda 16nm kwenda 14nm kwenda 10nm mpaka 7nm.
-wifi za B/G/N hapo hakuna AC
-TFT display
-protection NEG (haina gorilla glass)
-kama kawaida band 2 tu za 3g
Maelezo hayo machache nimeona hivyo.
Hio ndio.mnakuja kupigwa 200k na zaidi huku bongo
Hawezi kukuelewa hichi ulichoandikaNgoja nianze mimi na hili povu.
Wakiweka Gsmarena si advantage kwa tecno kama unavyofikiri bali ndio wanazidi kuaibika sababu jinsi specification zinavyokuwa revealed ndio jinsi unavyoona ni jinsi gani zilivyo mbaya.
Nimechukua tu simu ya kwanza
Tecno Pop 1s - Full phone specifications
2018 kwenda 2019 bado simu za tecno zina
-manufacturing technology ya 28nm wakati dunia ipo 7nm sasa hivi hapo kuna generation kibao imepitwa kutoka 28nm kwenda 22nm kwenda 16nm kwenda 14nm kwenda 10nm mpaka 7nm.
-wifi za B/G/N hapo hakuna AC
-TFT display
-protection NEG (haina gorilla glass)
-kama kawaida band 2 tu za 3g
Maelezo hayo machache nimeona hivyo.
Hio ndio.mnakuja kupigwa 200k na zaidi huku bongo
Acha kufananisha Iphone SE na TecnoUmefanya nimecheka sana, [emoji23][emoji23][emoji23] yaani hii ni simu ya mwaka huu lakini si ajabu imezidiwa na hii iPhone SE yangu ya miaka kadhaa iliyopita
mimi nina samsung, tecno na old blackberry...Tecno ni vifaa vya mawasiliano unavyotumia ukiwa huna hela .ukipata pesa unanunua simu kama samsung ,nokia na iphone..
Watu wanaoitetea tecno kwamba wanaipenda wakipewa samsung na tecno ni nani atachagua tecno??
Watu tuseme ukweli tu kwamba ukiwa umeyumba kidogo unaymtumia tecno hilo halina ubishi lakini mtu akisema ana mapenzi na tecno aende akatubu tu
Mshaanza kukubali. Jibu simple ni kuwa zina ubora kwa sasa. Si ndio?Baada ya kubolesha hata simu zinazoonekana nizile latest tu
[emoji16]soon utazielewa. Subiri vyuma vishike pabaya. (kiddin)Sijui ni ubishi wangu bado napata ukakasi kuzielewa hizi cm zenu hizi japo natambua kua ni mkombozi wenu lkn mtaniwia radhi tu
Hii ni strategy tu ua GSM arena kuongeza Traffic ya Website yao thou wametengenezea Tecno platform kubwa ya kufanya biashara zaidi.Hello Techs,