Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
Bei ya Tecno s1 ni laki moja au zaidi. Bei unayoitaja wewe ni simu ambayo imekuwa subsidized na mtandao wa simu, imelokiwa itumie mtandao fulani ndio maana bei ipo chini.Tecno s1 70000, kuna Samsung ya bei hii? Na iwe mpya.
Nipe uthibitisho mkuuBei ya Tecno s1 ni laki moja au zaidi. Bei unayoitaja wewe ni simu ambayo imekuwa subsidized na mtandao wa simu, imelokiwa itumie mtandao fulani ndio maana bei ipo chini.
mimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31
ninamiliki nyumba ya kuishi niliyojenga chanika
ninamiliki gari ndogo passo niliyoagiza mwenyewe japan
ninamiliki laundry business sehem tofaut
ninamiliki tshirt printing workshop
ninamiliki studio ya kupiga picha za kisasa na video kwenye events..
sijawai kua na hela ya kununua smartphone zaidi ya laki na nusu...
ila nimewai kununua vitu vingi sana zaidi ya laki na nusu vinanisaidia maishani kupata kipato kila siku..
kuna vijana wengi sana wa umri wangu wanakujaga kunikopa hela na wanaweka bond smartphone zao za laki 5 hadi milioni..
kama nina hela huwaga nawakopesha ila nawashangaa sana.. na wengi wao kunilipa wanasumbua..
hapa nilipo nina i phone 6 + mtu ameweka bond nimpe laki 3.. na anasumbua kulipa.. namuonea huruma tu kuiuza na akileta ujinga naiuza kweli
nilichojifunza watanzania wengi vijana hawajui kuzungusha pesa.. hela wakipata wanatumia katika vitu ambavyo haviwasaidiii
sababu mimi na tecno yangu ya laki na nusu kila mtandao maarufu nina access bila wasi wasi sawa na mwenye samsung au iphone ya milion 2
Bei ya 70,000Nipe uthibitisho mkuu
naamini akina Xiaomi & Honor wangekuwa wanapatikana kiurahisi Bongo ingesaidia kuwafunua watu machoTecno spark k7 ya laki 2
-Haina 4g
-ram 1gb
-kioo cha maji ya mchele
Grand prime plus ya laki 2
-ina 4g
-ram 1.5gb
-decent display
Halafu utawasikia fans waAppleTecno wengi wanasema zinauzwa bei rahisi.
Laki 2 mpaka 3 ukiispend kwa wachina wengine kama huawei honor series, xiaomi etc unapata simu kali kama tecno ya laki 5 hivi. Mfano ni redmi 5.
kwa wale wasio wapenzi wa hizi screen kubwa naamini hii ndio best option kwaoIphone SE
2GB RAM
Laki 3.5
Mimi huwa siwezi kabisa hizi screens kubwa. Simu inalala kiganjani na naperuzi na kidole gumba, sipendi simu itokelezee. Thats just too loud.kwa wale wasio wapenzi wa hizi screen kubwa naamini hii ndio best option kwao
mimi inategemea kidogo....ikizidi 5.5 inches tayari inaanza kuwa kero.Mimi huwa siwezi kabisa hizi screens kubwa. Simu inalala kiganjani na naperuzi na kidole gumba, sipendi simu itokelezee. Thats just too loud.
Mkuu, Hongera lakini huko Chanika uwanja ni shilingi ngapi, na je eneo hilo limepimwa ? Passo ni shilingi ngapi ? Acha kila mtu aishi maisha yake, usiishi kwa kujilinganisha na watu, ishi maisha yako.mimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31
ninamiliki nyumba ya kuishi niliyojenga chanika
ninamiliki gari ndogo passo niliyoagiza mwenyewe japan
ninamiliki laundry business sehem tofaut
ninamiliki tshirt printing workshop
ninamiliki studio ya kupiga picha za kisasa na video kwenye events..
sijawai kua na hela ya kununua smartphone zaidi ya laki na nusu...
ila nimewai kununua vitu vingi sana zaidi ya laki na nusu vinanisaidia maishani kupata kipato kila siku..
kuna vijana wengi sana wa umri wangu wanakujaga kunikopa hela na wanaweka bond smartphone zao za laki 5 hadi milioni..
kama nina hela huwaga nawakopesha ila nawashangaa sana.. na wengi wao kunilipa wanasumbua..
hapa nilipo nina i phone 6 + mtu ameweka bond nimpe laki 3.. na anasumbua kulipa.. namuonea huruma tu kuiuza na akileta ujinga naiuza kweli
nilichojifunza watanzania wengi vijana hawajui kuzungusha pesa.. hela wakipata wanatumia katika vitu ambavyo haviwasaidiii
sababu mimi na tecno yangu ya laki na nusu kila mtandao maarufu nina access bila wasi wasi sawa na mwenye samsung au iphone ya milion 2
Mkuu sarute sana kwako unajielewa nilichojifunza ni kuwa watu wasio na pesa au wenye maisha duni sana hununua vitu vya gharama kubwa ili kuficha umaskini wao wawapo kweny mikusanyiko ya watu wwngi ili wasgunfulike au kuonekana kama ni wamaisha ya chini..lakin tajir au watu wenye maisha ya kati na juuu wahana habar na vitu vya gharama kubwa kwa kuwa wao sio vipanumbele na huona hununua simu ya bei kubwa ni kutumia hera vibaya anaona ni bora aiwekeze kweny miradi na vitu vinavyoingiza kuliko kufanyia ubishoo..hicho ndo kitu nilichokielewa sjui ww mwenzangu.mimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31
ninamiliki nyumba ya kuishi niliyojenga chanika
ninamiliki gari ndogo passo niliyoagiza mwenyewe japan
ninamiliki laundry business sehem tofaut
ninamiliki tshirt printing workshop
ninamiliki studio ya kupiga picha za kisasa na video kwenye events..
sijawai kua na hela ya kununua smartphone zaidi ya laki na nusu...
ila nimewai kununua vitu vingi sana zaidi ya laki na nusu vinanisaidia maishani kupata kipato kila siku..
kuna vijana wengi sana wa umri wangu wanakujaga kunikopa hela na wanaweka bond smartphone zao za laki 5 hadi milioni..
kama nina hela huwaga nawakopesha ila nawashangaa sana.. na wengi wao kunilipa wanasumbua..
hapa nilipo nina i phone 6 + mtu ameweka bond nimpe laki 3.. na anasumbua kulipa.. namuonea huruma tu kuiuza na akileta ujinga naiuza kweli
nilichojifunza watanzania wengi vijana hawajui kuzungusha pesa.. hela wakipata wanatumia katika vitu ambavyo haviwasaidiii
sababu mimi na tecno yangu ya laki na nusu kila mtandao maarufu nina access bila wasi wasi sawa na mwenye samsung au iphone ya milion 2
Sawa. Mkuu ila watu wengi huwa wanadhani kila alie na tecno ana maisha duni hapana tukiendelea kukariri hivi ni uongo wako watu na maisha yao ila anaamua kutumia tecno ni mapenzi y mtu mwenyeweMkuu, Hongera lakini huko Chanika uwanja ni shilingi ngapi, na je eneo hilo limepimwa ? Passo ni shilingi ngapi ? Acha kila mtu aishi maisha yake, usiishi kwa kujilinganisha na watu, ishi maisha yako.
For real? Tecno anadetermine gharama za samsung? Ungesema xiaomi ama Honor na kina Oppo ningekuelewa.Bila uwepo wa tecno hata smartphone za samsung za 250k usingeziona dukani!!
Ushindani wa tecno. Umefanya makampuni makubwa ya simu kusghusha bei
Yote tisa lakini kumi ki tecno chako huwezi fananisha na samsung au iphone..mimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31
ninamiliki nyumba ya kuishi niliyojenga chanika
ninamiliki gari ndogo passo niliyoagiza mwenyewe japan
ninamiliki laundry business sehem tofaut
ninamiliki tshirt printing workshop
ninamiliki studio ya kupiga picha za kisasa na video kwenye events..
sijawai kua na hela ya kununua smartphone zaidi ya laki na nusu...
ila nimewai kununua vitu vingi sana zaidi ya laki na nusu vinanisaidia maishani kupata kipato kila siku..
kuna vijana wengi sana wa umri wangu wanakujaga kunikopa hela na wanaweka bond smartphone zao za laki 5 hadi milioni..
kama nina hela huwaga nawakopesha ila nawashangaa sana.. na wengi wao kunilipa wanasumbua..
hapa nilipo nina i phone 6 + mtu ameweka bond nimpe laki 3.. na anasumbua kulipa.. namuonea huruma tu kuiuza na akileta ujinga naiuza kweli
nilichojifunza watanzania wengi vijana hawajui kuzungusha pesa.. hela wakipata wanatumia katika vitu ambavyo haviwasaidiii
sababu mimi na tecno yangu ya laki na nusu kila mtandao maarufu nina access bila wasi wasi sawa na mwenye samsung au iphone ya milion 2
ndo shida ya waswahili kuna mtu amemuuliza kuhusu umiliki wa mali zako ....hivyo vimali kidogo ndo utambe majukwaani eti anamiliki nyumba, mara Passo...ungekuwa km Bakhressa si ungetaka watu wa kuabudu...au unataka kila anayechangia kutangaza umiliki wa vitu kabla ya kuchangia.........mimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31
ninamiliki nyumba ya kuishi niliyojenga chanika
ninamiliki gari ndogo passo niliyoagiza mwenyewe japan
ninamiliki laundry business sehem tofaut
ninamiliki tshirt printing workshop
ninamiliki studio ya kupiga picha za kisasa na video kwenye events..
sijawai kua na hela ya kununua smartphone zaidi ya laki na nusu...
ila nimewai kununua vitu vingi sana zaidi ya laki na nusu vinanisaidia maishani kupata kipato kila siku..
kuna vijana wengi sana wa umri wangu wanakujaga kunikopa hela na wanaweka bond smartphone zao za laki 5 hadi milioni..
kama nina hela huwaga nawakopesha ila nawashangaa sana.. na wengi wao kunilipa wanasumbua..
hapa nilipo nina i phone 6 + mtu ameweka bond nimpe laki 3.. na anasumbua kulipa.. namuonea huruma tu kuiuza na akileta ujinga naiuza kweli
nilichojifunza watanzania wengi vijana hawajui kuzungusha pesa.. hela wakipata wanatumia katika vitu ambavyo haviwasaidiii
sababu mimi na tecno yangu ya laki na nusu kila mtandao maarufu nina access bila wasi wasi sawa na mwenye samsung au iphone ya milion 2
Sasa Mkuu, kama huamini, chukua muda unafahamuTecno inauzwa katika mataifa gani, halafu utaelewa ni kwa nini watu wanafahamu kuwa kila aliye na Tecno ana maisha ya chini. Kwa taarifa tu, kuna nchi ambazo hazipokei Tecno, sasa jiulize ni kwa nini.Sawa. Mkuu ila watu wengi huwa wanadhani kila alie na tecno ana maisha duni hapana tukiendelea kukariri hivi ni uongo wako watu na maisha yao ila anaamua kutumia tecno ni mapenzi y mtu mwenyewe
Sasa Mkuu, kama huamini, chukua muda unafahamuTecno inauzwa katika mataifa gani, halafu utaelewa ni kwa nini watu wanafahamu kuwa kila aliye na Tecno ana maisha ya chini. Kwa taarifa tu, kuna nchi ambazo hazipokei Tecno, sasa jiulize ni kwa nini.
Hongera kwa mafanikio hayo ila hiyo simu yako ya tecno sio mbaya pengine na matumizi yako ni yakawaida so uwezi feel usumbufu wowote.Ila pia usilinganishe technology iliyotumika kwenye simu kama iphone au samsung na hiyo tecno unayozungumzia hafikii performance hata ya j2 Cole iliyotoka juzi hapa ambayo ni 250k.Nimetumia hizo tecno naelewa haza zake ukiwa heavy user itakuboa kwa ku kwama kuchemka kujizima kwa kweli hauwi comfortable. Sijui kwa hizi latest zao kama camon x pro zikoje kingine bei zao ni ghali mno ila vyovyote vile kama roho yako imeridhika furahia maisha tu.mimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31
ninamiliki nyumba ya kuishi niliyojenga chanika
ninamiliki gari ndogo passo niliyoagiza mwenyewe japan
ninamiliki laundry business sehem tofaut
ninamiliki tshirt printing workshop
ninamiliki studio ya kupiga picha za kisasa na video kwenye events..
sijawai kua na hela ya kununua smartphone zaidi ya laki na nusu...
ila nimewai kununua vitu vingi sana zaidi ya laki na nusu vinanisaidia maishani kupata kipato kila siku..
kuna vijana wengi sana wa umri wangu wanakujaga kunikopa hela na wanaweka bond smartphone zao za laki 5 hadi milioni..
kama nina hela huwaga nawakopesha ila nawashangaa sana.. na wengi wao kunilipa wanasumbua..
hapa nilipo nina i phone 6 + mtu ameweka bond nimpe laki 3.. na anasumbua kulipa.. namuonea huruma tu kuiuza na akileta ujinga naiuza kweli
nilichojifunza watanzania wengi vijana hawajui kuzungusha pesa.. hela wakipata wanatumia katika vitu ambavyo haviwasaidiii
sababu mimi na tecno yangu ya laki na nusu kila mtandao maarufu nina access bila wasi wasi sawa na mwenye samsung au iphone ya milion 2
bila shaka wewe ni mhaya maana umejisifu mnomimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31