Tecno mobile Mega Thread

Wengi wenye smartphone hawajui zitumia zaidi ni picture taking whatsapp,facebook,etc
 
wadau hebu tuwekane sawa maana sisi timu tecno tunapigwa majungu sana na hawa wa upande wa pili, NI KITU GANI HASA AMBACHO SIMU ZAO SIJUI GALAXY SIJUI HTC SIJUI IPHONE NGAP NGAP HUKO SIJUI LUMIA NGAP NGAP HUKO ZINA FANYA AMBACHO TECNO ZETU HAZIFANYI????

mnatupigia kelele weee wakat unachokifanya kwako na mim nafanya vile vile

Kuweni wapole, kubalin mmepoteza hela tu, ubora n ule ule, uwezo n ule ule, tofaut n makampun tu na gharama

Mungu mbariki mchina aendelee ku produce hii bidhaa, hehehe Simu inayozalishwa na samsung yenye thaman ya lak 6 kendelea n= Tecno ya lak na nusu, Tuambizane n nini mnafanya kwenye cm zenu sisi familia ya Tecno hatuwez
 
Naenjoy kuwa na techno kwani sasa napiga video calls
 
Nina tecno 3 zimenifia. Mbaya zaidi haujaisha hata mwaka.. nina s5 imekufa touch na mic, p5 imekufa lcd na m3 imepasuka lcd na touch. Kwa hiyo nina majanga ya tecno.
 
Samahani kidogo mkuu unaposema "unlocked" unamaanisha nini?

unlocked inamaanisha simu ilitumika kwenye mitandao mengine ikawa locked, then mtu akaichakachua itumie mitandao yote. Simu locked zinakua bei rahisi sana.

mfano moto g marekani ni dola 99 tu ipo locked mtandao wa verizon. Hapa tz ni laki 3 na nusu hadi laki 4. Ukii unlock unaweza uza 250,000 hapa tz ukapata faida kubwa kwa bei ndogo. Hivyo note 1 unapata hadi kwa bei hio.

na bei mpya ya note 1 ni 450,000 nilinunua 6 month ago
 
Habari wana jf. Naomba watumiaji wote wa Tecno waje hapa watuambie ni aina ipi ya Tecno ni nzuri zaidi. Pia watoe sababu ya uzuri wake pamoja na bei. Nimesikia kuna fake je, kuna ukweli wowote? Pia usisahau kututajia matatizo uliyokutana nayo ktk simu yako kwani mie nimeona mwenye P5 akisema akikata simu haikatiki hadi amwambie wa upande wa pili akate.
 
Nina tecno 3 zimenifia. Mbaya zaidi haujaisha hata mwaka.. nina s5 imekufa touch na mic, p5 imekufa lcd na m3 imepasuka lcd na touch. Kwa hiyo nina majanga ya tecno.

hahahahahaha kaombewe
 
Team tecno hamuelewi tecno sio cheap compare na brand nyengine ila zimetapakaa tu thats why huoni simu nyengine.

kama unanunua simu chini ya laki 2 its ok hata ukinunua tecno japo ukistrugle unaweza pata choice bora ila ukitoka range ya laki 2 unapata choice kibao ambazo ni best kuna s2, lumia 520, mote e, xperia e1, nokia x2,

mfano mzur ni hapo juu note 1 inazipita simu zote za tecno tena ukipata lte version ndio kabisa na still ni cheap zaidi.
 
Nina tecno 3 zimenifia. Mbaya zaidi haujaisha hata mwaka.. nina s5 imekufa touch na mic, p5 imekufa lcd na m3 imepasuka lcd na touch. Kwa hiyo nina majanga ya tecno.

Mimi naona wewe na mzembe nasio mtuzaji Wa simu
 
Nina tecno 3 zimenifia. Mbaya zaidi haujaisha hata mwaka.. nina s5 imekufa touch na mic, p5 imekufa lcd na m3 imepasuka lcd na touch. Kwa hiyo nina majanga ya tecno.

😀 mbona husemi ilikuaje zikaharibika? Na isittoshe hizo lcd zinapatikana madukani.
 
NA vp namna ya kutoa logo ya tecno na sauti pindi unapowasha simu?

Unaweza kutoa logo au bootaudio moja kwa moja au kuibadilisha km huitak.ili kuondoa sauti hyo itabidi uroot simu yko hlf udwnload app y root browser ambyo inkupa access y kubadilisha system setting fungua root browser hlf uende kwny system hlf media ndan y media utakuta bootaudio.mp3. Na shutaudio.mp3 ili ss isitoe sauti wkt unazima au unawasha simu yko itabidi uediti hyo bootaudio.mp3 kwnda bootaudiobak.mp3 hlf n hyo shutaudio hvyohvyo iwe shutaudiobak.mp3. Hlf reboot simu yko an ur done. Ss km unatka kuirudisha unaondoa hlo neno ( BAK ) hlf unareboot simu yko n zitarudi km kawaida
 

Attachments

  • 1404136691513.jpg
    24.2 KB · Views: 84
  • 1404137362119.jpg
    21.8 KB · Views: 77
  • 1404137377135.jpg
    24.2 KB · Views: 75
Daah kesi za Tecno ni nyingi mno I don know y?


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Wakati nasoma hii post kuna Mdada pembeni yangu Alikuwa analalamika tecno yake inapoteza network, hivi tatizo linakuwa Ni nini hasa?

Hakuna tecno inayozngua net
 

Alishasema sana chief mkwawa hapa sema mmeamua kua vipofu wa akili kila siku kuuliza maswali yale yale,tena non sense.

Huwezi kua una gari aina ya vitz ukataka kujilinganisha na mwenye range kisa zote ni gaqi,utakua huna akili. Huwezi kua una nyumba ya nyasi ukataka kujilinganisha na mwenye gorofa eti kisa zote ni nyumba,utakua mwehu. Huwezi kua unapikia kuni ukataka kujilinganisha na anaepikia gesi eti kisa yote ni majiko,utakua kilaza.

Tecno ni sawa na nguo za mtumba,siwezi kununua nguo ya mtumba tuseme karume,yenye alama ya nike,nikajilinganisha na droga eti kisa nae kavaa nike,ntakua mburula.
 

mbwembwe tu ww huna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…