Muanzisha mada na team tecno wote wako kishabiki sana no matter how many facts watapewa. Ukitazama wote washabiki wa tecno wana sifa moja inayofanana... Wote husema utanunuaje simu ya milioni wakati kuna equivalent ya bei nafuu (tecno).
May you validate your statement Man ? Give me direct link please !
Mi napita mkuu !
Tecno H5 - Ndo naiskia Leo hii !
Tecno P9 - Nimeiskia juzi hapa !
!
Mi napita mkuu !
Tecno H5 - Ndo naiskia Leo hii !
Tecno P9 - Nimeiskia juzi hapa !
!
Msaada nina tecno h5 ninapotumiwa sms inaonesha tu jina la mtumaji lakini message body haionekan,,anayejua tatizo naomba msaada
tafuta alternative mkuu nenda playstore kadownload. go sms
Tecno hajawahi wala hata weza kuja kumkosesha usingizi Samsung na wenzake kamwe
Soko la tecno ni dogo sana kuliko unavyofikiria ukilinganisha na masoko ya manguli wa smartphones
Hiyo tecno haina soko hata huko uchina kwenyewe, asilimia kubwa ya wachina wanatumia Iphone na Samsung
Tecno inauzwa sehemu ambazo watu hawaangalii ubora wa kitu ila wanaangalia bora kitu.......Africa
Tecno hata unipe bure sichukui,techo sio sim ni likifaa la mawasiliano tu. Mtu huwezi kutoka huko umebanwa na haja kubwa unakuja hapa kusema eti samsung,nokia,lg,iphone watasubiri kwa tecno,tecno???
natumia tecno m3 lakin nimeichoka kwa kweli bt haina shida
Ushamba ni mzigo mzito sana.