Tecno mobile Mega Thread

Ingia wifi.hotspot hlf. Kwenye turn on Wi-Fi hlf nenda setup Wi-Fi hotspot kuna sehemu imeandikwa show password tick hpo thn utaona password hzo ss ndo uziweke wkt ple comptr itahitaji passwrd y hyo wifi
 
sawa niambie sasa mtengenezaji wa tecno hiyo original ni nani???

Kuna wengine wamekwisha kuwa brain-washed na nchi za magharibi. Amekariri kila kitu kilichotengenezwa China kina low quality wakati yeye nchi yake haiwezi hata kutengeneza sindano! Pia wengi humu wanaponda vitu vya mchina kwenye mtandao lakini kuanzia yeye mwenyewe utakuta amavaa kitu kimoja from China, ukifika nyumbani kwake utakuta furniture za Mchina zimeenea!

Nchi za magharibi zinalinda masoko yao ya ndani kwa kuzipiga marufuku bidhaa kutoka China kwa visingizio mbalimbali. Sisi je viwanda vikowapi kama si kukariri nyimbo za wazungu bila kuelewa mantiki.

Tecno baada ya miaka miwili iltakuwa habari nyingine, hakuna cha Sumsang wala Sony! Mimi natumia Tecno Phantom M9-kitu hii haijawahi kunianguisha, kila kitu cha msingi nakipata sawa na wenye Samsung Galaxy nk!
 

Kwa hiyo wewe unamheshimu sana anaye-drive Vogue na kumdharau anaye-drive Vitz? Haya ni mawazo ya kifukara yanayoitesa nchi hii, ndiyo maana viongozi wetu wanang'ang'ania kumiliki Ma-VX ili waheshimiwe na watu kama ninyi lakini dawa zikosekana hospitalini na watoto wakae chini mashuleni!

Viongozi wa nchi wanaotupa misaada hawamiliki mahekalu wala magari ya kifahari kama yale ya viongozi wetu, sisi ujinga na mawazo ya kilofa kama yako yametapakaa mpaka umasikini tumeshindwa kuuondoa nchini wakati tuna kila kitu cha kuanzia maendeleo.
 

Hujui unachoongea mkuu nimetumia aina nyingi za smart phone hakuna jipya
 
Mcponde tecno mbna wana cm nzur tu mfano tecno M3 1GHZ Core, 4gb internal ,512 RAM 3G, WI-FI, whatsapp kila kitu adroid version 4.2 jelly na spid ya ajab kweny kudown load imara na inadumu haina tofaut na kutumia huawei y 300 na baadh ya samsung yan kuliko nitumie ideos google bora tecno M3
 
thanks alot B2L nimefanikiwa, to make it easy, i have changed it (password) to my disired one.
 
Last edited by a moderator:
MKUU B2L saidia na hapa TECNO P5, kuna mlio unatoka unapopokea mtu uliye mpigia simu, huu hapa dzzzz.
naomba nisaidie namna ya kuutoa unapita wapi, nimejaribu sana sijaona.
 
Uzoefu unaonyesha watumiaji wa mara ya kwanza wengi wanaanza na Tecno ila wakishazoezi wanahama.
 
MKUU B2L saidia na hapa TECNO P5, kuna mlio unatoka unapopokea mtu uliye mpigia simu, huu hapa dzzzz.
naomba nisaidie namna ya kuutoa unapita wapi, nimejaribu sana sijaona.

Jaribu kubadlisha audio profile weka silence hlf jarib kumpigia m2. Ukiendelea tujuznee
 
Umeathiriwa sana na siasa wewe na inawezekana kushindwa kwako na maisha utaishia kulaumu wanasiasa wakati wenzako wanatusua
Unaujua utajiri wa akina bush wewe?

turudi kwenye mada
kama ulikua. hujanielewa namaanisha hivi kama uwezo wako ni kula kwa mama ntilie basi usidharau wala kujilinganisha na anayekula kempsiki,
ni upuuzi kusema haina maana kula kempiski wakati unaweza kula kwa mama ntilie na wote mkashiba kuliko kula sub way

simdharau mwenye tecno wala vitz ila nitamdharau atakapo sema vitz ni bora kama vogu au tecno inaubora kama Samsung and the co ili kuhalalisha umasikini wake

Ni dhambi kubwa na dalili ya kushindwa maisha kama utaishia kudhani vitu duni ndio bora na halali yako kutumia maishani
umiza kuchwa na wewe uweze kumiliki samsung 5 na vyote vilivyobora
kama huna uwezo tumia tu it's ok lakini usiponde wanaotumia vilivyo bora
 
naomba msaada wakufuta app najua kudownload sijui kufuta natumia techno m3
 
naomba msaada wakufuta app najua kudownload sijui kufuta natumia techno m3

Nenda kwnye settings scroll dwn mpk sehemu y Apps thn choose application unayoitaka kuiuninstall.ambzo n dwnloaded aaps lkn kwa system app ambzo huja kwa moja na simu cyo rahisi kuziuninstall mpk uroot simu yko
 
Uzoefu unaonyesha watumiaji wa mara ya kwanza wengi wanaanza na Tecno ila wakishazoezi wanahama.

Kibirizi kweli hapo umenena mimi mwenyewe kwa sasa naiponda tecno but nilianzia p3 nikaitumia miezi 4 kabla ya kuhamia samsung tehetehe
 
Last edited by a moderator:
Nenda kwnye settings scroll dwn mpk sehemu y Apps thn choose application unayoitaka kuiuninstall.ambzo n dwnloaded aaps lkn kwa system app ambzo huja kwa moja na simu cyo rahisi kuziuninstall mpk uroot simu yko

asante Mkuu nimeweza kufuta baadhi ya apps
 
hii simu ni kiboko yake kaka kama galaxy s3 hivy hivy.Battery safii,camera safii 8.0 auto focus.nimetumia kwa muda naona inafaa.Chukua tu kaka bei isizidi 480,000/=



Yakwangu nilichukua 390,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…