santos mtn
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 348
- 369
nina tecno m7 since 2013 haijawah kuzingua chochoteTecno ukinunua unaweza ukaziona poa lakin baada ya kama mwaka mmoja mauzauza yanaanza
nina tecno m7 since 2013 haijawah kuzingua chochoteTecno ukinunua unaweza ukaziona poa lakin baada ya kama mwaka mmoja mauzauza yanaanza
Inategemea ila nying za sasa hv zinazngua hasa huu mtindo wa app kujidownload zenyewnina tecno m7 since 2013 haijawah kuzingua chochote
Unakaaje na simu mwaka nzima na ww....aghhhh🙁🙁🙁Tecno ukinunua unaweza ukaziona poa lakin baada ya kama mwaka mmoja mauzauza yanaanza
Tunatofautiana kipato nduguUnakaaje na simu mwaka nzima na ww....aghhhh🙁🙁🙁
L8 plus INA 4G?Mie natumia l8 plus, kuna version mbili l8 na hiyo plus iko vizuri sana hasa hasa battery utaifurahia sana, nilikuwa natumia Samsung Galaxy battery ikawa inasumbua sana ila kwa hii l8plus nimeridhika sana
tecno boom J8 iko vizuri sana hasa battery yake inamudu mikimiki ya internet na kudownload
a wap bhnaaaa mkuuHakuna tecno nzuri mkuu..
Una fact za kupinga hilo?a wap bhnaaaa mkuu
J8 ni nzuri ila l8 ni 5050mh, wakati j8 3000mh battery
app hazi jidownload but kuna ads huwa zina download virus sasa kazi yake n kucontrol simu yako dawa yake downlpad Dr.web antivirus itamtoaInategemea ila nying za sasa hv zinazngua hasa huu mtindo wa app kujidownload zenyew