Tecno L3

Tecno L3

pirate

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
726
Reaction score
725
Habari zenu wanajamii

Kuna kitu bado kinanishangaza😕 kwenye hizi tecno smartphone Kwasabab najaribu ku-root tecno l3 naona kama inagoma hivi wakati nafuata njia zote za kufanya rooting, sasa kinachonishangaza niki-verify root inaonyesha bado.. plz kama Kuna member yoyote ambae anayo model kama hii naomba msaada wa jinsi ya ku-root because Kuna app ambazo zinagoma kufanya kaz...


Thanks🙂
 
Sijawahi kuzipenda Tecno hata kidogo...sorry!! Go for Fame S6810
 
Checki Andoid info, utapata orodha ya apps ambazo zitafanya kazi,coz kua apps hazifanyi kazi na zingine ni za kilipia..
 
Back
Top Bottom