TECNO J8 on sale

TECNO J8 on sale

C8 ni ndogo kuliko J8. C8 ina ram 1gb while J8 ina ram 2gb ina 16gb internal memory na 13 mp ya camera inayoifanya kuwa na picha nzuri zisizo na kifani. Bei ya J8 mpya dukani kwa sasa imeshuka k/koo inauzika 350000-320000. Niliyo nayo mimi imetumika km mwezi tyu so ni bei ya kutupa nauza
Mkuu hili si ni jukwaa la matangazo??? Anzisha uzi wako, sio kudandia[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mpya 260,000/- hiyo bei ya 320,000/- ni bei ya c9 mpya
 
Back
Top Bottom