Tecno gani inaweza kufungua pdf file?

Tecno gani inaweza kufungua pdf file?

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
63
Wakuu naomba msada wenu eti kuna simu aina ya tecno ambayo inaweza kufungua pdf file? na kama ipo bac n tecno ngap?
 
Ahsante mkuu niko mbeya naenda kutafuta hiyo N3 cjui kama nitafanikiwa ila nitakujulisha jioni
 
tafuta tecno D5 unaweza kupata kwa 160. Kama alivyo sema mkuu Never give up kuna mamilioni ya app pray store na adobe ikiwepo.
 
Last edited by a moderator:
Nimeipata tecno m3 ni fresh kila kitu nimeipata mbeya kwa 170,000/=
 
Back
Top Bottom