Kwa mfano Diamond akitoa single yake halafu akaamua kumshirikisha Kiba ili kunogesha ngoma hiyo inaitwa featuring au collaboration (collabo)
Sasa hapa Tecno kaamua kunogesha simu yake kwa kuweka shell ya techno lakini mashine ya Samsung
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.