Taylor Gang Jr
Senior Member
- Jul 2, 2013
- 131
- 7
Habari za asubuhi wakuu...naombeni msaada wenu wakuu,kati ya hizo simu mbili kutokana na specification zake,ipi ni nzuri sana kuliko nyingine na kwann???
Ingia GSMARENA.COM ;kuna ulinganifu wa simu mbalimbali. Pia simu utakayoikuta kati ya hizo mbili ndio simu ya kununua.Habari za asubuhi wakuu...naombeni msaada wenu wakuu,kati ya hizo simu mbili kutokana na specification zake,ipi ni nzuri sana kuliko nyingine na kwann???
Habari za asubuhi wakuu...naombeni msaada wenu wakuu,kati ya hizo simu mbili kutokana na specification zake,ipi ni nzuri sana kuliko nyingine na kwann???
tecno sio sim mkuu,ni likifaa linaloweza kukuwezesha kuzungumza na mtu alie mbali,wala usijaribu kuifananisha na sim yoyote,bora kuishi bila sim kuliko kuonekana nina tecno.
no research no right to speak
wewe ni mpuuzi sana hebu niambie nini uchofanya na sm yako ambocho kwenye techno nichaajabu yambafuuuu wewetecno sio sim mkuu,ni likifaa linaloweza kukuwezesha kuzungumza na mtu alie mbali,wala usijaribu kuifananisha na sim yoyote,bora kuishi bila sim kuliko kuonekana nina tecno.
uwezo wa akili yako ni mdogo,unakariri sana,hujui hata msemo upi unatumika wapi,ww ni kujiropokea tu watu wajue kua na ww unajua,eti no research no right to speak!
wewe ni mpuuzi sana hebu niambie nini uchofanya na sm yako ambocho kwenye techno nichaajabu yambafuuuu wewe
Techno wanasimu zisizo bora ila kwa phantom wameweza onesha ubora wa hali ya juu. Mimi naona phantom ndo bora zaidi au jaribu kugoogle kupata phone to phone comparison
wewe ni mpuuzi sana hebu niambie nini uchofanya na sm yako ambocho kwenye techno nichaajabu yambafuuuu wewe
Nami nasisitiza kuwa Tecno siyo simu, kamwe mwenye ufahamu katika masuala ya IT au electronics huwezi kuifananisha Sumsang na Tecno, ila wale wenye ugonjwa wa kununua vitu bila ya kufanya tafiti ilimradi nae aonekane ana smartphone huwa wanajikuta wamenunua simu zenye mfano wa smartphone, ni bora ununue HUAWEI ya promotion kwa maana ya zile zinazotumia line special za kampuni fulani kuliko kujidanganya kununua Tecno.
Jamani inafikia kipindi yatupasa tupende kutafuta taarifa kwa umakini wa hali ya juu. Samsung walishapewa tunzo juu ya ubora wa smartphone zao, imefikia kipindi sasa apple inakosa usingizi kutokana na soko la simu za Samsung, unapozungumzia mobile phones for android manufacturers, basi tambueni Samsung ndio kinara wao
Ingia GSMARENA.COM ;kuna ulinganifu wa simu mbalimbali. Pia simu utakayoikuta kati ya hizo mbili ndio simu ya kununua.