Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,145
- 4,292
C9 I ni kama c8 tuu imetofautiana vitu vichache kikubwa ni camera na iyi androud version
Ni kweli hadhi yangu ni ma galaxy manini huko sijui.... Naomba basi mojaHapana sio hadhi yako hiyo
Lini unahamia dodoma nikutafutie nyumba au wizara yenu mmegoma?Na kila siku wanasimu mpya!
Mmmmh
Unataka s7 au s7 edge?Ni kweli hadhi yangu ni ma galaxy manini huko sijui.... Naomba basi moja
Ehuuuuuu unanichanganya kabisa😀Unataka s7 au s7 edge?
Nakuchanganya nn mrembo changamkia furusaaaEhuuuuuu unanichanganya kabisa😀
Lini unahamia dodoma nikutafutie nyumba au wizara yenu mmegoma?
C8 Haina 4Gvile vile hata c8 inaweza kwenda Android 6.0
VP kuhusu W4 nataka kununua VP iko poa wakuu Mimi uongo dhambi ninazipenda sana tecno tangu nianze kutumia p3 kipindi kile hadi Leo sijawai jutia kuchagua tecno
Kumbe unazipenda na ndio simu zako, wewe kanunue tu
It feels good kufungua kitu kipyaaa...simu safi sana hii.USHUHUDA: Mimi mentor nashuhudia kununua simu yangu kutoka kwa huyu jamaa (ana sauti ya kichaga ingawa simjui jina bado) aliyesema anauza 350,000/- na nimeipokea mchana huu.
Iko poa...
View attachment 376963 View attachment 376964