Hata mimi mkuu nawashangaa wanaodharau techno.wanasahau hata Samsung ilikua inadharaurika sana enzi zile wakati Nokia ilivyokua juu....Na Motorola....watu wanasahau kua kinachomata ni descent smartphone ya bei nafuu ambayo inauwezo waku process vitu kama email....Ku run Proffessional applications...kulingana Na taluuma ya MTU husika...Naendelea kufuatilia dharau za baadhi ya watanzania wenzetu humu.
Yakubadilisha housing but kilichokondani ni kile kileTecno wameleta mapinduzi makubwa sana
Ni kweli.Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia Tecno ni simu ya kununua wakati wa mapito mfano kama simu yako imeibwa, imepotea au imeharibika wakati ambao hujajipanga vizuri kununua simu nyingine🙄
Mkuu umenikumbusha mwaka juzi nilimtumia mama zawadi ya S4 ili irahisishe mawasiliano yangu nayeye hasa whatsapp calling au imo maana kupiga simu tz ilikuwa inani cost sana. Alichofanya ni kwamba aliichukua akampa dogo mmoja wa jirani aliyekuwa secondary akampa nokia ya tochi. Sababu eti inamsumbua maana haoni namba wala hawezi kusoma meseji.Ukifuatilia mijadala ya simu yaani unaweza ukaumiza kichwa, mie huwa naziona poa kulingana na matumizi ya kawaida but ukiitumia kama PC hapo unataka mengine na ndio maana huwa namshangaa mtu ananunua simu yenye specification nyinginyingi na kwa bei ya juu wakati matumizi yake ni whatsapp, facebook na kupiga selfie tu
Hapo hamna kipya kilichoongezeka hapo ndio maana hyo Camera mnaitangaza sanaSpecification hiz hapa:
Model:C9
Operating System: HIOS V1.0: Based on Android 6.0
Network: GPRS/EDGE//WCDMA/LTE
Band: GPRS/EDGE: 900/1800
WCDMA: 900/2100
LTE: Band3/7/20
Dimension: 153*76.4*10.35mm
Display: 5.5" FHD IPS Touchscreen
Resolution: FHD(1920*1080)
Processor: Octa-core Processor
Camera: 13.0 MP AF Back Camera with Flashlight
13.0 MP Front Camera with Flashlight
Memory: 16 GB ROM + 2 GB RAM Expandable Micro SD, up to 128GB
Connectivity: GPS, Wi-Fi, BT
Battery Capacity: 3000mAh
Sensor: G-sensor, Light Sensor, Proximity Sensor
Sometimes tunatakiwa tuwe waumini wa falsafa ya "less more" kwenye situation kama hizi kwa kuangalia mtumiajiMkuu umenikumbusha mwaka juzi nilimtumia mama zawadi ya S4 ili irahisishe mawasiliano yangu nayeye hasa whatsapp calling au imo maana kupiga simu tz ilikuwa inani cost sana. Alichofanya ni kwamba aliichukua akampa dogo mmoja wa jirani aliyekuwa secondary akampa nokia ya tochi. Sababu eti inamsumbua maana haoni namba wala hawezi kusoma meseji.
13mp front camera sio kitu cha kawaida kama ni mfuatiliaji wa cm utaligundua hili...Sifa ya kipekee ya simu hiyo ni kamera? Maana hazijaelezwa sifa zake zingine ili kunipa sababu ya kuinunua.
Usiniambie nawe watumia tecno!!! :-🙂C8 ina nini? Mbona nzuri?
Eeeh baba tecno boom j7Usiniambie nawe watumia tecno!!! :-🙂
Hapana sio hadhi yako hiyoEeeh baba tecno boom j7
Yakubadilisha housing but kilichokondani ni kile kile
MmmmhEeeh baba tecno boom j7
Mkuu samahani, ni the best kwako pekee.Ungejua hiyo brand hata China wenyewe hawaipendi wanapenda iPhone, sasa we ubest wake ni kwenye ubora au bei mkuu?TECNO Mobile , isije kuwa kama c8 maana najutia kwanini nilinunua.. all in all TECNO is the best.