TECNO CAMON C9 yaingia sokoni kwa kishindo

TECNO CAMON C9 yaingia sokoni kwa kishindo

Ina tofauti gani na Boom J8? Kwanini mmetoa C9 wakati J8 ingali bado mbichi sokoni tuwaeleweje? Haya ina tofauti gani kubwa kati ya J8 na C9 ? Naomba majibu plz TECNO Mobile
 
Naomba muwe mnatoa update za android kwa kila toleo, je hiyo c9 itaenda android N?
 
Ram 5gb
Iyo ni Tecno C10
Hahaha ikifika mwaka 2020 kutakuwa na Tecno C20 inayo tumia window xp
 
Hizi simu specifications zipo Sawa tuu, wanachobadili ni umbo tuu la sim
 
Mmetaja tu sifa ya camera..
Bado sifa hiyo haiwezi kumvutia sana mteja!!
Weka full specification....

Specification hiz hapa:
Model:C9
Operating System: HIOS V1.0: Based on Android 6.0
Network: GPRS/EDGE//WCDMA/LTE
Band: GPRS/EDGE: 900/1800
WCDMA: 900/2100
LTE: Band3/7/20
Dimension: 153*76.4*10.35mm
Display: 5.5" FHD IPS Touchscreen
Resolution: FHD(1920*1080)
Processor: Octa-core Processor
Camera: 13.0 MP AF Back Camera with Flashlight
13.0 MP Front Camera with Flashlight
Memory: 16 GB ROM + 2 GB RAM Expandable Micro SD, up to 128GB
Connectivity: GPS, Wi-Fi, BT
Battery Capacity: 3000mAh
Sensor: G-sensor, Light Sensor, Proximity Sensor
 
Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia Tecno ni simu ya kununua wakati wa mapito mfano kama simu yako imeibwa, imepotea au imeharibika wakati ambao hujajipanga vizuri kununua simu nyingine🙄
Ni pale unapokuta mtu kajipanga miezi 9 kununua sim anakuja kununua tecno!
 
Specifications na uhalisia wa simu za tecno ni vitu viwili tofauti.....
 
C8 ina nini? Mbona nzuri?
Ukifuatilia mijadala ya simu yaani unaweza ukaumiza kichwa, mie huwa naziona poa kulingana na matumizi ya kawaida but ukiitumia kama PC hapo unataka mengine na ndio maana huwa namshangaa mtu ananunua simu yenye specification nyinginyingi na kwa bei ya juu wakati matumizi yake ni whatsapp, facebook na kupiga selfie tu
 
Teh mie simu hata selfie situmii hata ukiuliza sijui megapixel ni ngapi sijui ilmradi napiga na kupokea baaas
 
Back
Top Bottom