Tecno camon c8 OT upgrade (4)

Tecno camon c8 OT upgrade (4)

Sorry mkuu, Unaweza nijuza ni nn ambacho una enjoy baada ya kuroot simu yako? Ni mabadiliko gani ambayo yanatokea
Uki root simu mabadiliko hayaji yenyewe bali wewe ndio unakuwa kiongozi wa simu yako. Inategemea utapenda simu yako iwena kitu gani na isiwe na kitu gani wewe ndie unakuwa muamuzi.
Also simu imekuwa faster ku respond any task ninayo open
 
Pamoja mkuu
 
Mkuu nisadie nataka niweke shady contact kwenye my phone c8 nimeroot lkn bado mambo magumu mkuu!,pia hiyo font nimejalibu but mambo magum can you help me plzz
 
Font nenda playstore pakuwa app inaitwa ifont
Ifungue ndan utakuta ina font nyingi chagua unayoipenda itajidawnload kisha activate simu itazima ikiwaka itawaka ikiwa kwenye font uliyo chagua.
Hapo kuweka shady contact sijakuelewa.
 
Pamoja mkuu
Nimeroot simu yangu tecno j7 salama, nashkuru kwa michango yenu kukamilisha hili, naomba kujua jinsi ya ku upgrade Android version to lollipop. Pia nilipomaliza kuroot kuna application ya kichina imekuja, hii inaandika kichina tu hivo kufanya nisielewe inahusina na nn, kutokuijua kunafanya niogope kuiondoa, km unaijua nijuze mkuu
 
Attachments

  • 1461298040569.jpg
    1461298040569.jpg
    59.9 KB · Views: 41
Ulitumia app gani ku root hiyo simu.
Hiyo App kama ungetumia kingroot v4.8.0 hiyo icon app inaitwa Purify.
Ni version ya kingereza zamani ilikuwa kichina tu kama hiyo yako.
Dawnload Aptoide then update hiyo kingroot itakuwa english version.
 
Shukrani mkuu nitafanya hivo
 
Jaman wadau nmeroot phone yangu C8 naomben apps nzur ambazo nilikuwaa sizipati kipindi sijaroot cm yanguuu.
Plz wadau nipen hayo mautundu ya apps zoote kalii
 
Back
Top Bottom