Tecno Camon 18 kuja na Gimbal Kamera

Tecno Camon 18 kuja na Gimbal Kamera

Nyie vipi ? Sasa Tetesi zinatolewa na akaunti rasmi ? Tetesi zinatakiwa zitoke uchochoroni huko.
Mimi nina Tecno ipo android 6.0 ni lini nitapata android 12 au ndio basi tena ?🐒
Android 12 inakuja kwa simu za Phantom X na Camon 17, Camon 18
 
Nyie watu hivi hakuna uwezekano wa kubadilisha hii tekno spark3 yangu kwa spark 8 maana nina shida na simu yenye otg kwa kuongezea pesa ama hiyo huduma ilisitishwa
 
Nyie watu hivi hakuna uwezekano wa kubadilisha hii tekno spark3 yangu kwa spark 8 maana nina shida na simu yenye otg kwa kuongezea pesa ama hiyo huduma ilisitishwa
Hio shida huwezi tumia alternative ya wireless technology?
 
Back
Top Bottom