rodney jr.
Senior Member
- Feb 12, 2014
- 139
- 73
Msinunue simu za lumia zenye 512mb ram sababu simu mpya za microsoft zote zina 1gb ram hadi za bei rahisi. Hii inamaana future updates simu za 512mb ram zitaachwa.
Kama budget ni ndogo sana angalia lumia 430, 435, 532 ni za bei rahisi sana
Ina maana mkuu Chief Lumia yangu 630 nitakosa update kweli? Maana ina Ram 512mb.