Tecno boom j7 vs nokia lumia

Tecno boom j7 vs nokia lumia

Wakuu kwa wenye uzoefu ipi nzuri kwa matumizi ya mwanafunzi na ya kawaida na bei zake vipi kwa mwanza

inategemea unalinganisha hiyo J7 na lumia gani...

kwa ufupi BOOM J7 ina Android Kitkat tofauti na lumia zenye Windows. Kwa matumizi rahisi Android phone ndio sahihi kwani utapata free apps nyingi pia customizations ni simple tofauti na windows phone.

kingine kwenye hii J7. inazo gesture fulani hivi, kwa mfano wakati screen imeLock ukichora C basi simu inaamka na kufungua camera, pia ukichora M inaamka na kufungua Music, ukichora W inafungua whatsapp.

Camera yake ni kama ya P9 , sio nzuri kwenye mwanga hafifu, yaani unapotumia Flash hata kwenye mwanga, ndio inapozidi kutoa picha yenye giza , bora usitumie flash.

kuhusu shape iko poa sana inafanana na zile nokia za zamani za QWERTY keypad. camera ya mbele iko powa.

muziki ni wa kawaida, headphone sio nzuri sana, mpaka uzishindilie ndani ya sikio kwa nguvu ndio utasikia mziki mzuri.

headphone zinaContol Vol + , Vol- Play/Pause

processor speed ni ya kuridhisha

RAM 1GB goood
Internal memory ni 16GB Good
 
Hakuna tekno ya kuingia kwa lumia yoyote ukitazama charge,perfomance,camera,music,internet,updates yaan lumia kwa maisha but tecno ni kwa season ikija tu update ya android os jua itatoka mpya yenye os mpya,mfano lumia 520 imepokea window 8 na itapokea window ten
 
ukisema hivyo unampotosha jamaa, hebu linganisha camera ya lumia 430 au 435 ni 2MP halafu j7 camera ya nyuma ni 8MP. Pia screen size na resolution.

kweli sina Bias ninatumia Lumia lakini kuna vi-Lumia ambavyo haviingii kwenye j7, Zmini,Z,R5,R7...
 
wakuu lumia 520 na lumia 630 zina bei gani kwa duka?msaada pleaz
 
Boom J ndo mpango mzima, inauzwa 320,000 ukikomaa hadi 280000 wanakupa
 
ukisema hivyo unampotosha jamaa, hebu linganisha camera ya lumia 430 au 435 ni 2MP halafu j7 camera ya nyuma ni 8MP. Pia screen size na resolution.

kweli sina Bias ninatumia Lumia lakini kuna vi-Lumia ambavyo haviingii kwenye j7, Zmini,Z,R5,R7...

Naongea with experience,piga picha kwa lumia weka kwenye pc halafu piga kwa tecno weka kwenye pc utapata majibu,mimi mtu wa kilimo unakuta mtu anatatizo shamban anakutumia picha ya zao kapiga kwa tecno unaona mmea ila huelew sababu quality ya camera mbovu,ila piga na lumia zoom pic unaona features za picha yako
 
Si kweli kwamba kila camera ya lumia ni nzuri kuliko ya tecno. Hao waliopiga picha wamepiga labda na T410 au T series.

Angalia hii picha ya Tecno L3 yenye cam ya 3.0 MP
6ca4bae68255052e1db35040de215fdb.jpg

Na hii
4f6bfd64a5606d61b77fed2d5f19276e.jpg

Hii hapa ya lumia 435 yenye cam 2.0MP.
f2938ac12a555846707416618619ddc6.jpg

Na hii
f1e51f6f7330001870070f8c6b17813b.jpg

Sasa je ukiona picha ya j7 au phantom hizo ndio za kulinganisha na lumia zenye kuanzia 5MP lakini sio hizi lumia za 2.0MP ambazo hazitumii sensor za maana
 
ukisema hivyo unampotosha jamaa, hebu linganisha camera ya lumia 430 au 435 ni 2MP halafu j7 camera ya nyuma ni 8MP. Pia screen size na resolution.

kweli sina Bias ninatumia Lumia lakini kuna vi-Lumia ambavyo haviingii kwenye j7, Zmini,Z,R5,R7...
Boom kama inafika 300,000 si vyema kufanya comparison na 430 ambayo ni simu ya dola 70 tu. Huku kwetu ambapo midcom anazi overprice pia haijafika hata 200,000
 
Msinunue simu za lumia zenye 512mb ram sababu simu mpya za microsoft zote zina 1gb ram hadi za bei rahisi. Hii inamaana future updates simu za 512mb ram zitaachwa.

Kama budget ni ndogo sana angalia lumia 430, 435, 532 ni za bei rahisi sana
 
Issue hapa , jamaa yeye anasema kwamba tecno zinatoa picha mbovu kuliko lumia ndio maana nikatolea mifano hizo lumia.

Ni kweli kwamba camera za tecno sio superior lakini zipo zinazojiweza kuliko budget phones nyingi
 
Ht Tecno H6 pia camera yake ipo vizuri. Camera ya nyuma ni 8mp
 
Uzuri wa camera si mp, megapixel ni ukubwa wa picha tu quality ya camera inatokana na vitu vyengine

Hata mm awali nilikuwa naangalia ukubwa pixel kwa simu ambazo sio tecno lkn nimekuja kugundua uzuri wa camera piga picha halafu uizoom ile picha utaona tofauti. Camera nyingi za tecno ukizoom picha picha inakuwa na mawingu.
 
Km vitu gani mkuu ambavyo hufanya camera ionekane imetoa picha nzuri?

Kikubwa kabisa ni sensor jinsi sensor inavyokuwa kubwa basi ndivyo inavyokuwa na mapixel makubwa na kuruhusu mwanga mwingi.

Vitu vyengine ni kama lens, software ya simu, optical image stabilization, nk
 
Duhh....haya mkuu. Shukrani kwa maelezo. Umenitoa tongo tongo
 
Back
Top Bottom