tecno android

tecno android

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
habari wana jf
mtu anaye jua bei ya tecno android
anijulishe niweze kufahamu
shukrani
 
Tembelea jukwaa la technology uelimike zaidi. Ila kwa kusaidia tu zipo za kuanzia laki na hamsini elfu hadi 450,000 kulingana na hela yako.
 
Zipo nyingi we unataka aina ipi?kuna n3,p3,m3,l3,n7 zote ni tecno android
 
Tecno n7 iko poa sana,gharama yake ni laki 3 na hamsini,nakuletea mpaka
sebuleni mkuu,ina fungua pdf,laini 2,internet ina high speed
 
habari wana jf
mtu anaye jua bei ya tecno android
anijulishe niweze kufahamu
shukrani

Katika kununua zingatia sifa za kitaalamu za unuzi wa cm za andrioid kama vile GPU, DISPLAY atleast 3 inch, 3g/4g, internal A-GPS, internal memory, processor speeds and ram. Unless kama ww huhitaji kutumia heavy duty stuffs
 
ahsanteni sana kwa ushauri wenu
mimi natumia samsung galaxy s1 original from uk
na motorola droid pro xt 610 pia original
nimeuliza tecno bei zake kuna mtu ananisumbua anataka afahamu bei
 
Back
Top Bottom