TechTrain Academy: Data Science Academy

TechTrain Academy

New Member
Apr 4, 2017
2
1
Hi Mabibi na Mabwana!
Tunaitambulisha rasmi TECHTRAIN ACADEMY, kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania na kupitia taratibu zote za usajili na ulipaji kodi ikiwa na lengo la kutoa mafunzo mafupi mafupi yaani Short Courses na ushauri yaani Consultancy kwenye eneo la ICT hususani DATA SCIENCE.

Kwa kuanzia tunatarajia kutoa kozi fupi ya siku nne 02/05/2017 hadi 05/05/2017 jijini DAR ES SALAAM ikiwa na anuani ya ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING.

Kwa maulizo kuhusu sisi au hii kozi fupi iliyoshiba tutafute kwa kupitia
email: info@techtraintz.com au techtraintz@gmail.com au simu ya mkononi +255629610039.

Tunawakaribisha sana.

TechTrain Academy Team
 
Back
Top Bottom