Wadau hivi mnajua kuwa kuna tecnlojia ya kuvuna/kunasa senene ambao ni wadudu maarufu kwa baadhi ya makabila hapa nchini? tazama technolojia hii iliyobuniwa na watu ambao hawakupita darasani bali kwa kutumia harakati za maisha.
Unaombwa kutazama technolojia hii na harakati za biashara ya senene katika kipindi cha television leo saa 12:00 jioni kupitia CHANNEL TEN.katika kipindi cha barua kutoka kanda ya ziwa.
ambao hawataona nitawawekea hapa jamvini
Byabato
Host