Technolojia Inakua

Giddo

New Member
Nov 11, 2010
2
0
Kumekuwa na Tatizo la muda mrefu ambapo mtu ukipoteza simu yako unakuwa huwezi kupata namba zako zote kama zilivyokuwa hapo awali..ila kwa sasa naona tatizo litapungua coz..kwa wale walioenrol kwenye www.pamojacontacts.com
unaweza kuhifadhi contacts zako online for free ukipoteza simu contacts zinabaki.
Bnafsi nimeipenda
 
alsaidy

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
334
85

Website doesn't respond.......................
 
BrainPower

Senior Member
May 19, 2009
146
1
Kumekuwa na Tatizo la muda mrefu ambapo mtu ukipoteza simu yako unakuwa huwezi kupata namba zako zote kama zilivyokuwa hapo awali..ila kwa sasa naona tatizo litapungua coz..kwa wale walioenrol kwenye www.pamojacontacts.com
unaweza kuhifadhi contacts zako online for free ukipoteza simu contacts zinabaki.
Bnafsi nimeipenda

Badilisha URL kwenye post yako.. Mtu aki click inampleka http://www.pamojacontacts.com...hapo/ badala ya Pamoja.

ndiyo maana mkuu alsaidy amesema website doesn't respond.

B.P (2010)
 
Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,002
103
hii website ya pamoja ni ya mtu binafsi ama kampuni?je inausalama?watu hawachukui personal details zako?
 
ggg

Member
Nov 3, 2010
60
0
isije ikaw unauza contacts zako arafu zitumike visivyo, kwanini usiandike number zako za sm then unajitumia mwenyewe kwa e-mail?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom