Technology will never impress me untill the day i can download FOOD!!!

Technology will never impress me untill the day i can download FOOD!!!

ha ha ha ha ha ha ha, uuuwwwwiiiiiiiii
dah, umepinda mazee
 
Hahahahahahaaaaa,,, we Jamaa ulifikiria kitu gani arifu????
 
lakini i think hivyo vyakula vyote vitakuwa vya kichina haaaaa!!!!
 
Hahahaha!dah!unadown load chips yai online hahaha!bila kusahau link ya biere lol!
 
Usihofu nitaanzisha mgahawa wangu online. Ukidouwnload from the menu nakuletea mpaka mlangoni, andaeni smart card zenu.
 
Kijana usiendekeze tamaa zako, mtoto wa kiuume hasifiwi kwa kula!
 
Back
Top Bottom