Technology mpya bungeni

Technology mpya bungeni

Third Eye

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
373
Reaction score
210
Pamoja na mapungufu yote yaliyopo bungeni, ila kuna moja huwa linanikera kupindukia, ukishafika ule wakati wa ndioooooooooo na siooooooo? Hivi kweli kwa karne hii na maendeleo ya technology bado kushout kuna tija?

My take, kwanini isitengenezwe system ya upigaji kura kutoka kwenye kiti cha mbunge? Hii itasaidia hata wale wanaotaka kusema Siooooo lakini wanaogopa kuonekana wasaliti wa wenzao waliokaaa nae?

Wataalamu wa IT mtusaidie is possible to do that? A button on MP' s table with a display in front giving real time votes?
 
Wazo zuri mkuu. Ukiacha mambo ya IT, labda tunaweza kuiga toka kwa Mabunge ya wenzetu. Hivi wao wana vote (kwa kusema: NDIYOOOO, au HAPANAAAA) au wanatumia nguvu ya hoja katika mambo ya msingi yanayogusa mustakabari wa mataifa yao?
 
Pamoja na mapungufu yote yaliyopo bungeni, ila kuna moja huwa linanikera kupindukia, ukishafika ule wakati wa ndioooooooooo na siooooooo? Hivi kweli kwa karne hii na maendeleo ya technology bado kushout kuna tija?

My take, kwanini isitengenezwe system ya upigaji kura kutoka kwenye kiti cha mbunge? Hii itasaidia hata wale wanaotaka kusema Siooooo lakini wanaogopa kuonekana wasaliti wa wenzao waliokaaa nae?

Wataalamu wa IT mtusaidie is possible to do that? A button on MP' s table with a display in front giving real time votes?

Wazo zuri sana hili!wabunge wanatakiwa kulipata na kulifanyia kazi
 
yeah jambo la maana sana, lakini wahusika hawapendi vitu kama hivi ...
 
Pamoja na mapungufu yote yaliyopo bungeni, ila kuna moja huwa linanikera kupindukia, ukishafika ule wakati wa ndioooooooooo na siooooooo? Hivi kweli kwa karne hii na maendeleo ya technology bado kushout kuna tija?

My take, kwanini isitengenezwe system ya upigaji kura kutoka kwenye kiti cha mbunge? Hii itasaidia hata wale wanaotaka kusema Siooooo lakini wanaogopa kuonekana wasaliti wa wenzao waliokaaa nae?

Wataalamu wa IT mtusaidie is possible to do that? A button on MP' s table with a display in front giving real time votes?

wazo zuri sana hilo mkuu nafikiri hata wao ni memba humu wataliona hili na ikibidi walifanyie mchakato mfumo huu ndo unao endelea kuliangamiza taifa hili
 
Hiyo ni sumu kwa CCM na Bunge linaloongozwa na Bi'Kidude.
 
Pamoja na mapungufu yote yaliyopo bungeni, ila kuna moja huwa linanikera kupindukia, ukishafika ule wakati wa ndioooooooooo na siooooooo? Hivi kweli kwa karne hii na maendeleo ya technology bado kushout kuna tija?

My take, kwanini isitengenezwe system ya upigaji kura kutoka kwenye kiti cha mbunge? Hii itasaidia hata wale wanaotaka kusema Siooooo lakini wanaogopa kuonekana wasaliti wa wenzao waliokaaa nae?

Wataalamu wa IT mtusaidie is possible to do that? A button on MP' s table with a display in front giving real time votes?

Good Idea,ishu iko kwenye utekelezaji,coz hii iliyokuwepo sasa wananufaika nayo.
 
Hao ni mamburula unadhan wataacha hyo wakati ina ad vantage kwa ccm maana wao ni wengi
 
Vipaza sauti vya kwenye kila seat ya mmbunge vinafanya kazi kimang'amung'amu ndio itakuwa electronic voting system?
Inabidi wakomae kuliboresha bunge.
 
Ni wazo zuri ila ni mfumo rahisi sana wa kuchakachua kama watawala wataamua kupitisha au kuzuia agenda zao kupitia kiti cha spika.....
 
Pamoja na mapungufu yote yaliyopo bungeni, ila kuna moja huwa linanikera kupindukia, ukishafika ule wakati wa ndioooooooooo na siooooooo? Hivi kweli kwa karne hii na maendeleo ya technology bado kushout kuna tija?

My take, kwanini isitengenezwe system ya upigaji kura kutoka kwenye kiti cha mbunge? Hii itasaidia hata wale wanaotaka kusema Siooooo lakini wanaogopa kuonekana wasaliti wa wenzao waliokaaa nae?

Wataalamu wa IT mtusaidie is possible to do that? A button on MP' s table with a display in front giving real time votes?

Kuna vitu viwili naviona lazima tuvitazame kwenye kutekeleza au kutoketeleza hilo:-

1. Hiyo ya ku-shout inawezekana ndo inawafanya wachoke na kusinzia kutwa!
Hebu wajaribu hiyo huenda rate ya usinziaji ikapungua

2. Lakini pia tuwaangalie wale wengine ndo sehemu pekee wanayoimudu, maana hajawahi kuuliza swali wala kutamka chochote tangu achaguliwe isipokuwa kwenye kuitikia ndioooooo na siooooooo ndo wanamudu!
 
Haa ha ha ha kwa baadhi ya wabunge kupayuka NDIOOOOOOOOO ndo vipaji vyao bungeni,lakini kama bunge kuvuja kumewezekana voting system devices zitadumu?Hakika Tyson akikigusa mara moja tu kwishneiiiii!
 
Wazo zuri sana ila litapingwa sana na chama twawala
 
Hata mimi nimetafuta na kupiga ile namba ya kutoa maoni wakti A. Masako akiendesha kipindi cha KIPIMA JOTO ITV lakini kama tunavyofahamu watu ni wengi kwa wakati mmoja sikupata nafasi, lakini nilitaka kuwafikishia maoni juu ya mfumo huu wa kuamua jambo kwa kupaza sauti za Siyooo na Ndiyooooo.

Hivi ni namna gani Spika anaweza kupima hizi sauti kuwa wengi wamesema ndiyo au siyo? Masikio yake yananasa maneno hayo mawili na kutoa majibu kwamba lililotamkwa zaidi ni hili? Je watendaji wa spika wananamna ya kuhesabu sauti za wabunge ili kutoa jibu sahihi? Utaratibu huu katika kanuni za bunge untakiwa kuwanyiwa marekebisho uliopo haufai hata kidogo. UMfumo unaacha maswali mengi bila majibu.

Wabunge mlifanyie kazi au hata kuingizwa kwenye KATIBA.
 
Pamoja na mapungufu yote yaliyopo bungeni, ila kuna moja huwa linanikera kupindukia, ukishafika ule wakati wa ndioooooooooo na siooooooo? Hivi kweli kwa karne hii na maendeleo ya technology bado kushout kuna tija?

My take, kwanini isitengenezwe system ya upigaji kura kutoka kwenye kiti cha mbunge? Hii itasaidia hata wale wanaotaka kusema Siooooo lakini wanaogopa kuonekana wasaliti wa wenzao waliokaaa nae?

Wataalamu wa IT mtusaidie is possible to do that? A button on MP' s table with a display in front giving real time votes?

Wazo zuri, nimeshaona mabunge mengi tu huwa kuna screen kubwa kama zile za uwanja wa taifa, zinatundikwa ukutani , kisha matokeo yote huonekana wazi, kuliko hii ya ndiyoooooooooooo. sasa nashangaa inakuwaje serikali imeweza kuweka system hiyo uwanja wa taifa , lakini inashindwa kuweka bungeni. halafu kila siku tunajisifia kwamba jengo letu la bunge linaongoza kwa mfumo wa teknolojia Afrika.
 
Piga ua CCM haiwezi kukubali kitu kama hicho kwani yenyewe inajijua kuwa hata watu wake wenyewe wanaipinga ila wanakosa pa kusemea.
 
hio idea sii kwamba hawaiju,hebu angalia wameweka viti vya kusinzia, mic ya kila mbunge,vifaa vya kurekodi mambo yoote( audio& video) na mambo lukuki ya kisasa ambayo hayapo ktk mabunge hata ya ulaya.je hili la ku-vote ndo walisahau? Subiri siku wapinzani watakua wengi zaidi ya ccm wataweka
 
Pamoja na mapungufu yote yaliyopo bungeni, ila kuna moja huwa linanikera kupindukia, ukishafika ule wakati wa ndioooooooooo na siooooooo? Hivi kweli kwa karne hii na maendeleo ya technology bado kushout kuna tija?

My take, kwanini isitengenezwe system ya upigaji kura kutoka kwenye kiti cha mbunge? Hii itasaidia hata wale wanaotaka kusema Siooooo lakini wanaogopa kuonekana wasaliti wa wenzao waliokaaa nae?

Wataalamu wa IT mtusaidie is possible to do that? A button on MP' s table with a display in front giving real time votes?

Mbona hilo tayari limezungumzwa na kutolewa maamuzi hata bungeni kwenyewe. Wataweka machine za kura.
 
Back
Top Bottom